Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
gv: wewe ni mwanaachama wa jamuiya ya mtandaoni ya wachoraji wa mjini.
gv: you are also a member of the online community urban sketchers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jennifer sefa-boakye anasaili orodha ya washindani 10 bora zaidi wa tuzo ya golden baobab kwa wachoraji wa kiafrika:
jennifer sefa-boakye highlights 10 of golden baobab prize for african illustrators’ finalists:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanzilishi wa wachoraji wa mjini, gabi campanario, hutumia michoro kama zana ya kuhabarisha; kazi yake imechapishwa katika jarida la seattle times.
the founder of urban sketchers, gabi campanario, uses sketches as a reportage tool; his work is published in the seattle times.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
je chama cha anc kingependa kudhibiti michoro hiyo? @anc_debate: wachoraji wa vikatuni wanapaswa kuwa si waoga.
would the anc like to regulate satire? @anc_debate: cartoonists are supposed to be irreverent.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
if: wachoraji wa mjini ni jumuiya ya watu wasiotengeneza faida yoyote, jumuiya ya kimataifa, inayojikita kukuza sanaa ya uchoraji na upakaji rangi wa mahali fulani.
if: urban sketchers is a non-profitmaking, international organisation, dedicated to fostering the art of on-location drawing and painting.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
uzinduzi wa tuzo hizo za glolden baobab kwa wachoraji wa ki-afrika ulifanyika mwezi novemba, na ni moja ya tuzo sita zinazotambua waandishi na wachoraji bora wa ki-afrika wa vitabu vya watoto wa mwaka.
awarded in november, the inaugural golden baobab prize for african illustrators was one of the foundation’s six prizes recognizing the year’s best african writers and illustrators of children’s stories.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwaka jana shirika la afrika lenye makazi yake nchini ghana, golden baobab, liliwatambulisha wachoraji kadhaa wenye vipaji, ambao kazi zao ni kama vile masimulizi ya ashanti yaliyosukwa kutoka miji ya moroko na hata wapiga rangi wa ki-afrika katika vyumba vya kunyolea jijini durban.
late last year ghana-based pan-african literary organization golden baobab introduced us to a shortlist of talented illustrators, whose work ranged from 3-d ashanti folktales to intricately drawn moroccan cityscapes and african barbershop-inspired murals in durban.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: