Results for wafanyakazi walio jiendeleza kielimu translation from Swahili to English

Swahili

Translate

wafanyakazi walio jiendeleza kielimu

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kwa hiyo, watunga sera, vyama vya kiraia na wafanyakazi walio mstari wa mbele wanahitaji kufanyiwa tathmini ya hatua za kukabiliana na aina zote za ukatili dhidi ya wanawake hakuna jambo bila kujali ambapo inafanyika.

English

therefore, policy makers, civil society and frontline workers need to review measures to tackle all forms of violence against women no matter where it takes place.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika mwezi mrefu wa mwaka, wafanyakazi walio na mwajiri zaidi ya mmoja na ambao hutoa ada zaidi ya denari 9,590 (sawa na dola za kimarekani 178) hawatapata hawatalipwa.

English

in the longest month of the year, freelancers who have fees higher than 9,590 denars will be left without income.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutokana na sintofahamu iliyopo katika sheria hii mpya na kukosekana kwa mawasiliano mazuri miongoni mwa vyombo husika vya serikali katika kutekeleza sheria hii, malipo ya ada ya kufanya kazi isiyo ya mkataba wa kudumu pamoja na baadhi ya wafanyakazi walio na mwajiri zaidi ya mmoja walizuiwa katika tarehe za mwisho za mwezi januari.

English

due to ambiguities in the new regulation and lack of coordination between government agencies in implementing the new law, payment of fees for part-time and freelance work for certain categories of workers were blocked in the last days of january.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfumo dume unapopingwa na wanawake, dini zinawaangalia, when patriarchal oppression is protested by women, religion keeps them in check, wafanyakazi hawawezi kwenda kinyume na wafanyakazi walio na uhuru mkubwa kwani dini zinakumbusha kuwa, kwa wote walio na kidogo katika ulimwengu huu, kuna maisha yanayowasubiri mara baada ya kufa.

English

when patriarchal oppression is protested by women, religion keeps them in check, workers cannot revolt against autocratic employers as religion reminds that for those who have less in this world, there is an afterlife waiting for them.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii inajumuisha wafanyakazi ambao hutangamana na umma kwa jumla kama vile katika shule, mandhari ya kazi yenye watu wengi, na sehemu zingine za biashara rejereja yenye watu wengi.vidhibiti vya uhandisi kwa hii na vikundi vyenye uwezekano mkubwa ya maambukizi inajumuisha kuweka chujio za hewa ya hali ya juu, kuongeza viwango vya uingizaji hewa, kuweka vizuizi kama vile vizuizi angavu za kupiga chafya, na kuweka dirisha la kupitia kwa unapoendesha gari kwa huduma ya wateja.udhibiti za utawala kwa kikundi hiki na vingine vilivyo hatarini ni pamoja na kuhimiza wafanyakazi wagonjwa kukaa nyumbani, kubadilisha mikutano ya uso kwa uso na mawasiliano kwa njia za kimtandao, kuanzisha kufanya kazi kwa zamu zilizolegezwa, kukatiza safari zisizohitajika katika maeneo yaliyo na mkurupuko unaoendelea wa covid-19, kutunga mipango ya mawasiliano ya dharura ikiwemo jukwaa la kujibu maswali ya wafanyakazi, kutoa elimu na mafunzo ya sasa kuhusu hali za hatari ya covid-19 na tabia za kujikinga, kufunza wafanyakazi wanaohitaji kutumia nguo na vifaa vya kujikinga jinsi ya kuzitumia, kutoa rasilimali na mandhari ya kazi inayosisitiza usafi wa kibinafsi, kuosha mikono mara kwa mara, kupunguza ufikivu wa wateja na umma kwa sehamu ya kazi, na kubandika ishara kuhusu kuosha mikono na hatua zingine za kuzuia covid-19.kulingana na kazi inayofanywa, wafanyakazi walio na kiwango cha wastani chache ya maambukizi huenda wakahitaji kuvaa vifaa vya kijikinga kibinafsi ikiwemo baadhi ya mchanganyiko wa glavu, gauni, kizuizi cha uso au barakoa ya uso, au miwani.

English

these include workers who have contact with the general public such as in schools, high-population-density work environments, and some high-volume retail settings.engineering controls for this and higher risk groups include installing high-efficiency air filters, increasing ventilation rates, installing physical barriers such as clear plastic sneeze guards, and installing a drive-through window for customer service.administrative controls for this and higher risk groups include encouraging sick workers to stay at home, replacing face-to-face meetings with virtual communications, establishing staggered shifts, discontinuing nonessential travel to locations with ongoing covid-19 outbreaks, developing emergency communications plans including a forum for answering workers’ concerns, providing workers with up-to-date education and training on covid-19 risk factors and protective behaviors, training workers who need to use protecting clothing and equipment how to use it, providing resources and a work environment that promotes personal hygiene, requiring regular hand washing, limiting customers' and the public's access to the worksite, and posting signage about hand washing and other covid-19 protective measures.depending on the work task, workers with at least medium exposure risk may need to wear personal protective equipment including some combination of gloves, a gown, a face shield or face mask, or goggles.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,926,251,917 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK