From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
safari za wahamiaji
migrant journeys
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
paraguai: wahamiaji wasimulia visa vyao
paraguay: immigrants tell their stories · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tiini sheria, abbott awaambia wahamiaji
obey the law at least, abbott tells migrants
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ni tatizo tu kati ya wahamiaji na wazawa.
it's just a problem between illegal immigrants and locals.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wote hawa, wamewekwa katika kundi la wahamiaji.
they are all categorised as immigrants.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
idadi ya wahamiaji watoto inaongezeka siku hadi siku.
figures grow day by day.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zaidi ya wahamiaji 1,000 wameyakimbia makazi yao.
over 1,000 foreigners have fled their homes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
dave wahamiaji wabaguzi watalaumiwa kwa ajili ya muhindi kuchomwa.
dave racist immigrants will be blamed for the fatal stabbing of an indian man
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa sasa wahamiaji hao wanataka kujimilikisha sehemu kubwa ya borodalupara.
now those settlers claim a large portion of borodalupara as theirs.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
serikali ya myanmar inawachukulia watu wa jamii ya rohingya kuwa wahamiaji haramu.
the myanmar government considers the rohingya to be illegal immigrants.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
irene fernandez ni mwanamke na mwanaharakati anayepigania haki za wahamiaji nchini malaysia.
irene fernandez is a women and migrant rights activist in malaysia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anaamini kuwa filamu zinazotambua utu wa wahamiaji na wakimbizi ndizo zilizo za muhimu kabisa.
he believes that films that humanize migrants and refugees are more important than ever.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
imekwishafahamika kuwa kuna mgogoro wa ardhi uliopo kati ya mjomba wa thomaching marma na wahamiaji wa bengali.
it has been learnt that conflict exists for land between the maternal uncle of thomaching marma and the bengali settlers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@fatanil: wapendwa wahamiaji na wageni nchini humu, ninahisi kuwa wengi wenu mmechanganikiwa.
@fatanil: dear foreigners, sensing that many of you are confused.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
askari wa doria waliowarudisha wahamiaji nchini libya waliivunja kanuni inayopiga marufuku kitendo cha kuwarudisha wakimbizi kwenye hatari.
the patrols that returned migrants to libya were in breach of the non-refoulement principle.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya watu wa afrika kusini wanawatuhumu wahamiaji kuwachukulia nafasi zao za kazi, biashara, pamoja na kujihusisha na uhalifu.
some south africans accuse foreigners of taking away jobs, businesses, and engaging in criminal activities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na jamaa ni karibu wao kwa wao katika kitabu cha mwenyezi mungu kuliko waumini wengine na wahamiaji. ila muwe mnawafanyia wema marafiki zenu.
according to the book of allah, blood relatives have greater claim over each other than the rest of the believers and the emigrants (in the cause of allah), except that you may do some good to your allies (if you so wish).
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
katika wiki chache zilizopita, mamia ya wahamiaji mwa jangwa la sahara kutoka mali au niger wamehamia miji ya algeria katika mpaka wa mashariki.
in the past few weeks, hundreds of sub-saharan immigrants from mali or niger have migrated to algerian cities by the eastern border.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
siku chache zilizopita, baadhi ya wanavijiji wa marma walipanda tangawizi kwenye mashamba yao lakini wahamiaji hao waliharibu mazao yao na kusababisha hali ya amani kupotea.
a few days ago, some marma villagers planted ginger in their lands but the settlers destroyed their crops and created unrest.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya wahamiaji wa mynmar wa jamii ya budha wanaoishi nchini malasia wiki chache zilizopita walishambuliwa tukio ambalo wengi wanaamini kuwa tukio hilo linahusiana na mvutano wa kimakabila na kidini unaoendelea nchini mynmar.
some myanmar buddhist migrants in malaysia have been attacked in recent weeks which many people believe are related to the ongoing ethnic and religious tension in myanmar.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: