From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa amani na masikizano, wawe daima wapole kwa kila mtu.
to speak evil of no man, to be no brawlers, but gentle, shewing all meekness unto all men.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
ni jambo la ajabu kulifanya kuwa sehemu ya sheria, yaani ni kama kuwaomba wapenzi waishi maisha ya kimahusiano ya usawa mara baada ya kuoana.
it's funny to make it part of a law; it's like requiring couples to have a harmonious sex life after marriage.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maandiko yote matakatifu yameandikwa kwa uongozi wa mungu, na yanafaa katika kufundishia ukweli, kuonya, kusahihisha makosa, na kuwaongoza watu waishi maisha adili,
all scripture is given by inspiration of god, and is profitable for doctrine, for reproof, for correction, for instruction in righteousness:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: