From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nafahamu vizuri sana kwamba baada ya kuondoka kwangu mbwa mwitu wakali watawavamieni, na hawatakuwa na huruma kwa kundi hilo.
for i know this, that after my departing shall grievous wolves enter in among you, not sparing the flock.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wakasema: sisi ni wenye nguvu na wakali kwa vita; na amri iko kwako, basi tazama ni nini unaamrisha.
they replied, "we have great power and valor. you are the commander, so decide as you like".
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
waambie walio achwa nyuma katika mabedui: mtakuja itwa kwenda pigana na watu wakali kwa vita, mpigane nao au wasalimu amri.
say (o muhammad saw) to the bedouins who lagged behind: "you shall be called to fight against a people given to great warfare, then you shall fight them, or they shall surrender.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ninatamani kuwa nyie wote mliotoa maoni hapa na kwenye blogu ya mume wangu mngekuwa mnamfahamu mume wangu - msingekuwa wakali namna hii wakati mkichambua sentensi zake.
i just wish all of you that commented here and on his blog knew my husband — you wouldn’t be so harsh as you pull apart sentences.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema;
without natural affection, trucebreakers, false accusers, incontinent, fierce, despisers of those that are good,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
timu za taifa za syria na lebanoni hazijawahi kufuzu kuingia katika fainali za kombe la dunia, hata hivyo hilo haliwazuii watu kutokuwa mashabiki wakali na kuonyesha upenzi wao kwa timu wanazozipenda katika kila njia inayowezekana.
syrian and lebanese national teams have never qualified to the world cup finals, yet that does not stop people from being hardcore fans and showing their admiration to their favorite teams in any way possible.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jilindeni nafsi zenu na ahali zenu na moto ambao kuni zake ni watu na mawe. wanausimamia malaika wakali, wenye nguvu, hawamuasi mwenyezi mungu kwa anayo waamrisha, na wanatenda wanayo amrishwa.
believers, guard yourselves and your families against a fire whose fuel is men and stones, and over which are harsh, terrible angels who disobey not god in what he commands them and do what they are commanded.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
waambie walio achwa nyuma katika mabedui: mtakuja itwa kwenda pigana na watu wakali kwa vita, mpigane nao au wasalimu amri. basi mkimt'ii, mwenyezi mungu atakupeni ujira mzuri.
say to the ignorant who stayed behind, “you will soon be called against a nation of great military strength – to fight against them or that they become muslims; so if you obey, allah will give you an excellent reward; and if you turn away, the way you had turned away before, he will mete out a painful punishment to you.”
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: