From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kuweka wakfu kiwanja
consecrate the compound
Last Update: 2023-01-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa: wafanyakazi wote wa wakfu wa wikimedia
to: all wikimedia foundation staff
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
waweke wakfu kwa ukweli; neno lako ni ukweli.
sanctify them through thy truth: thy word is truth.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie.
behold, unto you do i vow that the child in my womb is to be devoted to your exclusive service.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kutoka: katherine maher, afisa mkuu mtendaji ceo wa wakfu wa wikimedia
from: katherine maher, wikimedia foundation ceo
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na kwa ajili yao mimi mwenyewe najiweka wakfu ili nao pia wafanywe wakfu katika ukweli.
and for their sakes i sanctify myself, that they also might be sanctified through the truth.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
timu ya shughuli za hr inazingatia mwongozo wa mazingira ya mtandao ili kusaidia katika ongezeko la kazi zilizosambazwa katika wakfu.
the hr operations team is looking into webinar-based ergonomics guidance to support the increase in distributed work across the foundation.
Last Update: 2023-07-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alifanya hivyo, ili kwa neno lake, aliweke wakfu kwa mungu, baada ya kulifanya safi kwa kuliosha katika maji,
that he might sanctify and cleanse it with the washing of water by the word,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie. hakika wewe ndiye mwenye kusikia na mwenye kujua.
i do dedicate unto thee what is in my womb for thy special service: so accept this of me: for thou hearest and knowest all things."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
katika sheria ya bwana imeandikwa: "kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa bwana."
(as it is written in the law of the lord, every male that openeth the womb shall be called holy to the lord;)
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wewe wapenda uadilifu na kuchukia uovu. ndiyo maana mungu, mungu wako amekuweka wakfu na kukumiminia furaha kubwa zaidi kuliko wenzako."
thou hast loved righteousness, and hated iniquity; therefore god, even thy god, hath anointed thee with the oil of gladness above thy fellows.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ikiwa kipande cha kwanza cha mkate kimewekwa wakfu, mkate wote umewekwa wakfu; mizizi ya mti ikiwa mizuri, na matawi yake huwa mazuri pia.
for if the firstfruit be holy, the lump is also holy: and if the root be holy, so are the branches.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa moyo huu, naiweka wakfu hafla hii kwa bara la afrika, waafrika wanaoishi nje ya bara hilo, na kiongozi mkuu aliyetuacha hivi juzi, nelson mandela."
in this spirit, i dedicate this ceremony to africa as a whole, to its diaspora and to the great man who has just left us, nelson mandela."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
basi, kama mtu atajitakasa kwa kujitenga mbali na mambo hayo yote maovu, atakuwa chombo cha matumizi ya pekee, kwa sababu amewekwa wakfu, anamfaa bwana wake na yupo tayari kwa kila kazi njema.
if a man therefore purge himself from these, he shall be a vessel unto honour, sanctified, and meet for the master's use, and prepared unto every good work.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: