Results for walijitokeza translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

walijitokeza

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

waandamanaji milioni moja walijitokeza mitaani.

English

one million protesters took to the streets.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na bado wa-iraki walijitokeza kupiga kura.

English

still the iraqis turned out to vote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale waliosikia habari za maandamano hayo walijitokeza kwenye eneo la tukio.

English

those who heard about the protest made their way there.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika wakati mmoja au mwingine viongozi walijitokeza kutoka katika umma.

English

at one time or another the elite emerged from the masses.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

takribani watu 15,000 walijitokeza katika jiji la plovdiv kwa ajili ya maandamano.

English

some 15,000 people protested in plovdiv.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tulilitangaza tukio hilo kwenye wavuti, na wengine wengi – kama david – walijitokeza.

English

we publicized the event on the web, and many others - like david - just showed up.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatua hizo hazikupendwa kabisa; waandamanaji 10,000 walijitokeza jumapili ili kupinga vitendo vya tandja.

English

these moves were extremely unpopular; 10,000 protesters came out on sunday to dispute tandja's actions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

takriban vijana 400 wa nepali walijitokeza sehemu ya maitighar mandala tarehe 8 mei, 2011 na kudai katiba mpya.

English

around 400 nepali youth showed up at maitighar mandala on may 8, 2011 to demand a new constitution.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jumla ya waangola 7,213,246 walipiga kura kati ya watu 8,256,584 waliojiandikisha kupiga kura - asilimia 87 walijitokeza.

English

a total of 7,213,246 angolans went to the polls, out of 8,256,584 people who had registered to vote - an 87% turnout.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vyanzo vya habari vimeripoti kuwa watu wengi walijitokeza, foleni zenye kufuata utaratibu, na wapiga kura kusubiri hadi uchaguzi utakapomalizika ili kuhakikisha kwamba kura zao zimehesabiwa.

English

news sources reported a large turnout, orderly queues, and voters waiting until polls closed to make sure their votes were counted.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jiji la varna lililo pwani ya bulgaria lilitangazwa kuwa ndilo jiji la maandamano: zaidi ya watu 40,000 walijitokeza katika jiji hilo siku ya jumapili kwa ajili ya maandamano hayo ya jumapili.

English

the coastal city of varna was declared the protest capital: over 40,000 people turned up for the sunday's rally there.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika maandamano ya awali, yaliyofanyika desemba 2014, maelfu ya watu walijitokeza kwenye mitaa ya skopje wakipinga ongezeko la kodi pamoja na ada inayotozwa kwa mujibu wa taratibu mpya za serikali zilizoanza kutumika rasmi tarehe 1 januari, 2015.

English

in the first protest in december 2014, several thousand people took to the streets of skopje, marching against additional taxes and fees imposed by new government regulations, effective as of january 1, 2015.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muda mfupi baadae, wataalamu wa uchumi nchini afrika kusini walijitokeza kukanusha matamashi hayo, wakisema kuwa nchi ya afrika kusini haina vigezo vyovyote vya kuitwa "taifa lililokwama kiuchumi" kama vile ghasia zilizoenea za wenyewe kwa wenyewe, kutokufanya kazi kwa asasi za kiraia, kutokuwepo kwa mhimili wa mahakama unaojitegemea na kutokuwepo kwa ulinzi wa mali za watu.

English

south african economists immediately came out to dismiss his assertion, arguing that the south african state does not meet the factors that define a "failed state" such as widespread civil unrest, dysfunctional civil society, absence of an independent judiciary and a lack of protection for private property.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,744,171,842 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK