Results for walikuwa wana wasiwasi sana translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

walikuwa wana wasiwasi sana

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mama yake ana wasiwasi sana ...

English

his mother is very worried...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nina wasiwasi sana kuhusu maumivu haya ya kifua

English

i've very concerned of this chest pain

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hao walikuwa wana nguvu zaidi kuliko wao.

English

and they were far superior to them in strength.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walikuwa wana nguvu na mali na watoto zaidi kuliko nyinyi.

English

they were mightier than you in power, and more abundant in riches and children.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wengi wana wasiwasi juu ya usalama wa mwandishi huyu wa habari.

English

many are concerned for the journalist's safety.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inaeleweka kwa nini wazambia wana wasiwasi na afya ya marais wao au wale wanaotaka kuwa marais.

English

it is understandable why zambians are concerned with the health of their presidents or those aspiring to be presidents.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maoni yanatoa picha ya kuwa watu wameikubali hotuba hiyo angavu lakini wana wasiwasi na kauli tamu.

English

the comments give the impressions of a people appreciative of the bright speech but wary of rhetoric.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni kama wale walio kuwa kabla yenu. walikuwa wana nguvu na mali na watoto zaidi kuliko nyinyi.

English

[you disbelievers are] like those before you; they were stronger than you in power and more abundant in wealth and children.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hao walikuwa wana nguvu zaidi kuliko wao. na hapana kitu kinacho weza kumshinda mwenyezi mungu mbinguni wala katika ardhi.

English

nor is allah to be frustrated by anything whatever in the heavens or on earth: for he is all-knowing.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawakusafiri katika ardhi wakaona vipi ulikuwa mwisho wa walio kuwa kabla yao? na hao walikuwa wana nguvu zaidi kuliko wao.

English

and did they not travel in the land in order to see what sort of fate befell those who were before them, whereas they exceeded them in strength?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa korea kusini inaonekana kutengeneza mahusiano na korea ya kaskazini, wataalamu wana wasiwasi kidogo kuhusu kubashiri kuanguka kwa korea kaskazini.

English

although south korea seems to be plugging unification with north korea, experts are a little hesitant about projecting north korea's imminent collapse.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfungwa huyo amewekwa ndani nchini syria kwa miaka minne na marafiki na wanaharakati wana wasiwasi na maisha yake baada ya kuhamishwa leo kutoka kwenye gereza alilokuwemo kwenda mahali kusikojulikana

English

bassel safadi has been imprisoned in syria for almost four years and friends and activists fear for his life after he was transferred from his prison today to an unknown location

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uchaguzi baada ya uchaguzi imeonyesha kuwa wapiga kura nchini thailand wana "wasiwasi" na "kuhofia" uchaguzi unaokuja.

English

polls after polls have shown thai voters to be "worried" and "wary" about the upcoming new election.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

walikuwa wana nguvu na mali na watoto zaidi kuliko nyinyi. basi walistarehea fungu lao, na nyinyi mnastarehea fungu lenu, kama walivyo starehe kwa fungu lao wale walio kuwa kabla yenu.

English

like those before you who were greater in strength, had more wealth and children than you, who enjoyed their lot in this world, as you have enjoyed your share like them.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tusipochukua hatua za kuwazuia watu waliochaguliwa na wananchi na wasaidizi wao, hali ilivyo kwa sasa inatia wasiwasi sana, mazungumzo yote ya namna ya kupandisha hali za maisha ya watu hayatakuwa na maana yoyote na yatakuwa porojo za kikoloni.

English

unless we stop, doubtful in contemporary circumstances, elected public figures and their surrogates from stealing public funds, all talk about raising living standards is nothing but old colonial school colonial talk under the skin of the guy next door.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye, data rasmi zinaonyesha kuwa watu 6,174 walikuwa wana dalili tayari kufikia 20 januari 2020.kufikia 26 machi, marekani imezidi uchina na italia na nambari ya juu zaidi ya visa vilivyothibitishwa duniani.kufikia 9 aprili 2020, zaidi ya visa milioni 1.61 zimeripotiwa ulimwenguni kote; zaidi ya watu 97,000 wamefariki na zaidi ya watu 364,000 wamepona.

English

later official data shows that 6,174 people had already developed symptoms by 20 january 2020.as of 26 march, the united states has overtaken china and italy with the highest number of confirmed cases in the world.as of 9 april 2020, more than 1.61 million cases have been reported worldwide; more than 97,000 people have died and more than 364,000 have recovered.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,852,463 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK