From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wale wengine wote waliokuja kabla yangu ni wezi na wanyang'anyi, nao kondoo hawakuwasikiliza.
all that ever came before me are thieves and robbers: but the sheep did not hear them.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kesho yake, kundi kubwa la watu waliokuja kwenye sikukuu walisikia kuwa yesu alikuwa njiani kuja yerusalemu.
on the next day much people that were come to the feast, when they heard that jesus was coming to jerusalem,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alipomwona analia, na wale wayahudi waliokuja pamoja naye wanalia pia, alijawa na huzuni na kufadhaika moyoni.
when jesus therefore saw her weeping, and the jews also weeping which came with her, he groaned in the spirit, and was troubled,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wale wayahudi waumini waliokuja pamoja na petro kutoka yopa walishangaa kuona kuwa mungu aliwamiminia zawadi ya roho mtakatifu watu wa mataifa mengine pia;
and they of the circumcision which believed were astonished, as many as came with peter, because that on the gentiles also was poured out the gift of the holy ghost.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
shukrani za dhati kwa wawakilishi, ambao walikuja kutoka katika maeneo ya karibu na ya mbali katika nchi ya ufilipino, na pia wote waliokuja kutoka katika maeneo mengine duniani kwa lengo la kushiriki mkutano huu.
our attendees, who came from near and far within the philippines, and from other parts of the world, to be part of the event.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na hivi sasa kuna wasiwasi kuwa huenda kipindupindu kililetwa nchini haiti na wafanyakazi wa kimataifa waliokuja kusaidia..ukiachilia mbali idadi kubwa ya vifo (taarifa zinasema idadi ya vifo vilivyotokana na kipindupindu ni 200 mpaka 500 kwa mujibu wa ripoti za urusi), je kwa kiasi gani imani iliyopo, na ile inayotarajiwa inaweza kuvunjwa na tukio kama hili?
and now there are concerns that cholera may have been brought to haiti by the very international workers who came to help. besides the devastating toll on lives (with reports ranging from 200 to russian reports of 500 dead from cholera), how much current, and potential, good-will could such an event destroy?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: