Results for waliwaogopa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

waliwaogopa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

makuhani wakuu na walimu wa sheria wakawa wanatafuta njia ya kumwua yesu, lakini waliwaogopa watu.

English

and the chief priests and scribes sought how they might kill him; for they feared the people.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo wakawa wanatafuta njia ya kumtia nguvuni, lakini waliwaogopa watu kwa sababu wao walimtambua yeye kuwa nabii.

English

but when they sought to lay hands on him, they feared the multitude, because they took him for a prophet.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wazazi wake walisema hivyo kwa sababu waliwaogopa viongozi wa wayahudi kwani viongozi hao walikuwa wamepatana ya kwamba mtu yeyote atakayekiri kwamba yesu ni kristo atafukuzwa nje ya sunagogi.

English

these words spake his parents, because they feared the jews: for the jews had agreed already, that if any man did confess that he was christ, he should be put out of the synagogue.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ilikuwa jioni ya siku hiyo ya jumapili. wanafunzi walikuwa wamekutana pamoja ndani ya nyumba, na milango ilikuwa imefungwa kwa sababu waliwaogopa viongozi wa wayahudi. basi, yesu akaja, akasimama kati yao, akawaambia, "amani kwenu!"

English

then the same day at evening, being the first day of the week, when the doors were shut where the disciples were assembled for fear of the jews, came jesus and stood in the midst, and saith unto them, peace be unto you.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,781,629,657 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK