Results for wameamini translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

wameamini

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hao ni ambao wameamini na wakawa wanamcha mungu.

English

for those who believe and are mindful of god,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na lau kuwa watu wa kitabu nao wameamini ingeli kuwa bora kwao.

English

and if the people of the book had believed, it would have been better for them.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huwaoni wale wanao dai kwamba wameamini yale yaliyo teremshwa kwako na yaliyo teremshwa kabla yako?

English

hast thou not turned thy vision to those who declare that they believe in the revelations that have come to thee and to those before thee?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na lau kuwa watu wa kitabu nao wameamini ingeli kuwa bora kwao. wapo miongoni mwao waumini, lakini wengi wao wapotovu.

English

and had the people of the scripture (jews and christians) believed, it would have been better for them; among them are some who have faith, but most of them are al-fasiqun (disobedient to allah - and rebellious against allah's command).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale ambao wameamini, na hawakuchanganya imani yao na dhulma - hao ndio watakao pata amani na wao ndio walio ongoka.

English

"it is those who believe and confuse not their beliefs with wrong - that are (truly) in security, for they are on (right) guidance."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na ambao wameamini na wakatenda mema, bila ya shaka tutawaweka katika maghorofa ya peponi yenye kupitiwa chini yake mito, wakidumu humo.

English

and those who believe (in the oneness of allah islamic monotheism) and do righteous good deeds, to them we shall surely give lofty dwellings in paradise, underneath which rivers flow, to live therein forever.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akamwambia, "je, unaamini kwa kuwa umeniona? heri yao wale ambao hawajaona, lakini wameamini."

English

jesus saith unto him, thomas, because thou hast seen me, thou hast believed: blessed are they that have not seen, and yet have believed.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na ambao wameamini na wakatenda mema, bila ya shaka tutawaweka katika maghorofa ya peponi yenye kupitiwa chini yake mito, wakidumu humo. ni mwema ulioje huo ujira wa watendao, Â

English

and (as for) those who believe and do good, we will certainly give them abode in the high places in gardens beneath which rivers flow, abiding therein; how good the reward of the workers:

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huwaoni wale wanao dai kwamba wameamini yale yaliyo teremshwa kwako na yaliyo teremshwa kabla yako? wanataka wakahukumiwe kwa njia ya upotofu, na hali wameamrishwa wakatae hayo!

English

(muhammad), have you seen those who think that they have faith in what is revealed to you and to others before you, yet choose to take their affairs to satan for judgment even though they are commanded to deny him.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,749,090,445 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK