Results for wanafunzi wanasoma katika shule gani translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

wanafunzi wanasoma katika shule gani

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

uko shule gani

English

what school are you studying in? springs muslim school

Last Update: 2022-11-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maombi ya kazi katika shule yako

English

my name is bashir apply for apost of head prefect

Last Update: 2022-11-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

unasoma shule gani

English

what kind of school do you go to?

Last Update: 2023-07-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika shule yetu shughuli nyingi zinafanywa

English

in our school many activities are performed

Last Update: 2022-07-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nilisoma katika shule ya msingi in english

English

nisoma kiwahil

Last Update: 2022-05-19
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na kuhitimu elimu yangu ya sekondari katika shule ya kidete

English

started my elementary education in high school.

Last Update: 2024-05-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tafadhali baba unapaswa kuja na ziara karibu na mimi katika shule siku hiyo

English

please daddy you should come and tour around with me at school on that day

Last Update: 2023-09-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ninahisi athari ya sera hii itakuwa kuongezeka kwa uandikishaji wa wanafunzi katika shule binafsi ambazo zinaendelea kufundisha kwa kiingereza.

English

i suspect one effect of this legislation will be an increase in enrollments in private schools that continue to offer tuition in english.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

elif alimaliza phd yake katika shule ya afya ya jamii ya chuo kikuu cha harvard.

English

elif had completed her phd at the harvard university's school of public health.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sasa nilikuwa katika shule ya lugha ya afrikaans na pia nilikuwa kwenye kikundi cha voortrekkers.

English

now i was in an afrikaans school and i was also in the voortrekkers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kufikia tarehe 6 aprili, muda wa likizo ulisongezwa katika shule zote za upili nchini turkmenistani.

English

until april 6, holidays were extended in all secondary schools of turkmenistan.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

profesa carl ramota alitembelea chuo kikuu cha palo na kutoa taarifa ya hali ya kusikitisha katika shule:

English

professor carl ramota visited the palo campus of the country’s premier state university and reported the deplorable conditions in the school:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kufungwa kwa shule mitaani kunaweka mzigo shuleni kwa vile wazazi na maafisa wanawaelekeza watoto katika shule zilizofunguliwa.

English

localised school closures place burdens on schools as parents and officials redirect children to schools that are open.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nilisoma katika shule ya msingi nyum i na secondary roneca girls high school na nikaenda diploma chuo cha tanzania institute of accountancy

English

i studied at nyumbu primary school

Last Update: 2021-09-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata vijana wanaokwenda shule wana taarifa kidogo sana kuhusu vvu, kama mfano masuala ya afya ya uzazi hayafundishwi kabisa katika shule za liberia.

English

even the youth who go to school have minimal information about hiv, as such reproductive health issues are not taught in liberian schools.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa kuwa watoto hawawezi tena kuhudhuria masomo katika shule zao, el-zahawi aliwaza ni kwa nini asisogeze madarasa karibu na huko walipo?

English

so if kids can't get to their classrooms, el-zahawi thought, why not bring the classroom to them?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

elimu hiyo imefanyiwa majaribio katika shule teule nchini kote na itakuwa na mada kama afya ya uzazi, kujikinga na vvu/ukimwi na uzazi wa mpango.

English

the sex education program is being piloted in selected schools around the country and will include topics such as reproductive health, hiv/aids prevention, and family planning.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika shule ya uandishi wa habari jijini london mwaka 2002 nilikuwa na mwanafunzi mwenzangu aitwaye harun hassan ambaye nilizoea kumuuliza maswali mengi kuhusu maisha yake ya mogadishu na siasa za somalia.

English

in journalism school in london in 2002 i had a classmate named harun hassan who i used to ask a lot of questions about life in mogadishu and somali politics.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nchini hong kong, wanafunzi katika shule wanakiri kwamba wanafunzi mashoga wanazomewa na kunyanyaswa, kwa hiyo kuna shirika limeanzisha kampeni ya kukuza uelewa wa suala hili, wakijikita zaidi kwenye kuandaa video zenye mahojiano na wanafunzi wenye mihemuko tofauti ya kimapenzi pamoja na wataalamu katika mada zinazohusika.

English

in hong kong, students in schools admit that homosexual students are bullied and discriminated, so an organization has spearheaded a campaign to raise awareness on this issue, focusing on producing online videos of interviews with sexually diverse students and experts on the topic.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika mapendekezo ya mageuzi, mitihani ya mwisho ili kupata diploma ya shule ya sekondari itafanyika katika duru moja badala ya mbili na kuingia katika shule ya sekondari zitafanyiwa mtihani wa mwisho badala ya kupita daraja mwishoni mwa mwaka wa mwisho wa katikati ya shule ya sekondari.

English

in the proposed reform, the final exam to obtain the high school diploma will be done in one round instead of two and the entry into high school will be subjected to a final exam instead of a passing grade at the end of the final year of middle high school.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,781,624,521 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK