Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
misri: wanawake wanaoandamana waenziwa kwenye mtandao
egypt: protesting women celebrated online · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mpiga picha anayejitegemea monasosh alituma picha za wanawake wanaoandamana kwenye flickr
independent photographer monasosh posted photographs of the women protesters on flickr.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mpwa wangu amenitumia picha hii ya wavenezuela na wageni wanaoandamana leo mjini malta.
my cousin sent me this photos of venezuelans and foreigners protesting today in malta.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wote wanaoandamana huko shahbag, hawafanyi hivyo ili kukinyang’anya chama chochote madaraka.
those who are protesting in shahbag, they are not doing it to empower any party.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maelfu ya wavenezuela wanaoishi ng'ambo wameandaa maandamano kuwaunga mkono wenzao wanaoandamana mitaani katika nchi yao ya bara la amerika ya kusini.
thousands of venezuelans that now live outside of their home country have organised demonstrations to support the actions on the streets in the south american country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mujibu wa kanuni hiyo: "hairuhusiwi kurusha kamera kwenye kipenyo cha mita 500 kutoka kwenye jengo linalohusika na usalama, majengo ya vyombo vya serikali na mkusanyiko muhimu wa watu, kama vile majengo ya wizara ya ulinzi na jeshi la jamhuri ya masedonia, majengo ya wizara ya mambo ya ndani, serikali, bunge, makazi ya rais wa nchi, majengo ya ubalozi, mashindano ya michezo yenye hatari kubwa, na mkusanyiko mkubwa wa watu (wanaoandamana)."
according to the regulation: "it is not allowed to fly unmanned aircraft in a radius of 500 meters from building related to security, buildings of state bodies and critical masses of people, such as the buildings of ministry of defense and the army of republic of macedonia, buildings of the ministry of interior, the government, the assembly, the residence of the president of the state, embassies, sport competitions of high risk, and big gatherings of people (protests)."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting