Results for wanaonekana translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

wanaonekana

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

watawala wetu wanaonekana kukata tama kadri siku zinavyoendelea.

English

our leaders seem to be making it up as they go along.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawa wote wanaonekana kuwa wabebaji wasio na athari wa sars-cov.

English

all of these appear to be dead-end hosts of sars-cov.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanadamu wanaonekana kuwa na uwezo wa kusambaza virusi kwa wanyama wengine.

English

humans appear to be capable of spreading the virus to some other animals.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mcp inaonekana wamebadilika kwa hakika, wanaonekana wako makini sana kuweza kupindua meza.

English

for mcp it seems they have changed indeed, the guys look serious enough to upset tables.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika video hii, maafisa wa polisi wanaonekana wakiongea katika lugha ya urdu:

English

the police forces in this video seem to be speaking in urdu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mchanganyiko wa picha za kiev .kwa upande mwingine, waukraine wanaonekana kusikitishwa sana na hotuba ya rais putin.

English

collage from kievtypical .on the other hand, ukrainians are demonstrably upset with president putin's speech.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mtu aliyekufa mwaka 1981 na kuendelea kutawala akili za watoto wanaonekana kuwa na akili tena wa karne ya 21 ni jambo gumu kuamini.

English

for someone who died in 1981 to brainwash smart kids of 21st century is so unbelievable.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya wanablogu wa ki-rusi wanaonekana kuviangalia vikwazo dhaifu vya marekani kama dalili ya kuunga mkono kimyakimya matendo ya rais putin.

English

some russian bloggers seem to view weak american sanctions as a sign of us tacit support of president putin's actions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“inaonekana kuwa watendaji wa ndani na wa nje wanaonekana wazi jinsi wanavyopinga maadili ya mchakato wa amani na jinsi wanavyodunda mbali na ukingo wa mkataba wa amani.

English

"it is seen that all internal and external peace actors are visibly performing against the ethics of peace process and bouncing beyond the edge of comprehensive peace accord.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadhi ya wananchi wa tunisia wameamua kufanya maamuzi ya makusudi ya kutokupiga kura, wakati wengine wakiamua kuelekeza kura zao kwa vyama vichache vyenye nguvu za kisiasa ambao wanaonekana kuzoa kura nyingi.

English

some tunisians have made the deliberate choice of not voting, while others have decided to concentrate their votes on a few political forces and alliances that are deemed capable of amassing a majority of ballots.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@blakehounshell: kitu kimoja ambacho romney na obama wanaonekana kukubaliana: kuindoa bahrain katika orodha ya mapinduzi ambayo marekani inayaunga mkono.

English

@blakehounshell: one point romney and obama seem to agree on: leaving bahrain off the list of revolutions america supports.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kulingana na data ya awali ya marekani, watu walio na hali sugu za afya kama vile kisukari, ugonjwa sugu wa mapafu na ugonjwa wa moyo, wanaonekana kuwa katika hatari kubwa wa ugonjwa mbaya unaohusiana na covid-19 kuliko watu bila hali hizi.

English

based on preliminary u.s. data, persons with underlying health conditions such as diabetes mellitus, chronic lung disease, and cardiovascular disease, appear to be at higher risk for severe covid-19–associated disease than persons without these conditions.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa ujumla hata hivyo, wa-ganda wanaonekana kuwa na furaha kwa miaka 50 ya uhuru, na wana matarajio makubwa kwa miaka mingine 50, kama wanavyosema yoga yoga uganda (jina la wimbo rasmi wa sherehe hizo, wenye maana ya hongera sana katika lugha ya luganda)

English

generally however, many ugandans seem to be happy about 50 years of independence, and look forward to the next 50 years, as they say yoga yoga uganda (the title of the official uganda@50 song, which means congratulations in luganda).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,745,592,118 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK