From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mwanablogu wa mirsi nadia el awady anaandika posti ya blogu yake ambapo anahoji kama wanawake wanaovaa hijabu wanabaduliwa kwenye nchi za magharibi ama la.
egyptian blogger nadia el awady wrote a blog post in which she questions if women wearing hijab face discrimination in western countries or not.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini mlikwenda kuona nini? mlikwenda kumtazama mtu aliyevaa mavazi maridadi? watu wanaovaa mavazi maridadi hukaa katika nyumba za wafalme.
but what went ye out for to see? a man clothed in soft raiment? behold, they that wear soft clothing are in kings' houses.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mujibu wa waziri wa mambo ya vijana wa uganda ronald kibuule, wanawake wanaovaa mawazi yasiyositiri miili yao wanaomba kubakwa, na watuhumiwa wanaodaiwa kuwabaka wanawake waliovaa namna hiyo waachiliwe huru.
according to uganda's youth affairs minister ronald kibuule, women who are dressed indecently are asking to be raped, and suspects who have raped such women should be released.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
haidhuru unafikiriaje juu ya kujifunika kwa kiislamu jambo moja ni la hakika – kuwatia hatiani wanawake wanaovaa burqa au niqab kutawafanya wanawake hao wazidi kutoonekana. … kuchagua chagua masuala ya kutilia maanani katika haki za wanawake ni njia tu ya watu kuweka bayana ubaguzi wa kitaifa na silica hiyo inaweza kuonekana katika kila ngazi ya jamii – katika umma wa kawaida, katika vyombo vya habari, katika serikali.
no matter what you think of islamic veiling one thing is for sure – criminalising the women who wear the burqa or niqab is only going to render them more invisible. …this selective concern for women’s rights is merely a way for people to articulate their racist nationalism and it’s an attitude that can be found through all levels of society – in the general populace, in the media, in the government.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: