Results for wangependa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

lakini baadhi ya watu wana mtazamo chanya na zoezi hili na wangependa majaribio yaendelee nchini gambia:

English

but some are more optimistic and would like the trial to go ahead in the gambia:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika mahojiano na mtandao wa inmediahk.net, wanasema wanapenda wanyama na kuwa wangependa kuwasaidia kusema ili kumaliza kuuawa kwa tembo.

English

in an interview with inmediahk.net, they said that they love animals and wanted to stop the massive killing of elephants by helping to give them a voice.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“niliwakaribisha wahudumu wa afya kuniambia maneno ambayo wangependa kuwaambia wagonjwa wao kama wasingekuwa wamefunikwa na mavazi hayo," anasema heffernan.

English

“i invited the healthcare workers to offer the expression that the wished they could have given their patient if they weren’t covered up with these suits,” says heffernan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wito huo unawataka watu watoe michango kupitia blogu yao au wawasiliane na ofisi yao ya nairobi (kwa wale walio nairobi na wangependa kuchangia chakula na mavazi).

English

the appeal urges people to donate through the blog or to contact their nairobi office (for those in nairobi and wishing to give food and clothes).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wangependa tufungamane na mirengo fulani fulani, ama iwe kuipinga serikali ya irani au kuwaunga mkono wao, lakini sisi tumekuwa tukijitahidi kubakia huru bila kuhusisha imani zozote ambazo tunazo.

English

a lot of people would like us to take sides, whether it's against the government in iran or for them, but we work hard to remain independent despite whatever personal beliefs we have.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uteuzi huu utagusa hisia za watu wengi. kazi sasa ni kwa michel. matokeo mabaya ya harambee stars hasa kwa miaka minne ya hapa baadaye ni jambo ambalo mashabiki wengi wangependa kulisahau.

English

this appointment will prompt various views and michel's job is full on from the word go.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu aliwafunulia kwamba wakati walipokuwa wanasema juu ya hayo mambo ambayo ninyi mmekwisha sikia sasa kutoka kwa wale wajumbe waliowatangazieni habari njema kwa nguvu ya roho mtakatifu aliyetumwa kutoka mbinguni, hiyo kazi yao haikuwa kwa faida yao wenyewe, bali kwa ajili yenu. hayo ndiyo mambo ambayo hata malaika wangependa kuyafahamu.

English

unto whom it was revealed, that not unto themselves, but unto us they did minister the things, which are now reported unto you by them that have preached the gospel unto you with the holy ghost sent down from heaven; which things the angels desire to look into.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika programu ya the view from over there (mtazamo kutoka kwingineko) watu kutoka mataifa mbalimbali wanatoa maoni yao kuhusu sera ya nje, vita vya iraki, hali tete juu ya irani na kumtaja ni nani wangependa awe rais anayefuata wa marekani.

English

in the view from over there, people from many different countries state their views on foreign policy, the war in iraq, the situation with iran and mention who they would want as the future president of the usa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi sasa kuna ushahidi kuwa misri inaisaidia israel katika kuitenga hamas, na kwamba mubarak hana jingine zaidi ya chuki dhidi ya jamaa ya kiislamu (muslim brotherhood) pamoja na kutowaamini kabisa waqatar na wasyria, na kuwa ghuba yote ya uarabuni, pamoja na qatar wamechoka na uongo wa irani na wangependa kuiona irani imetoweka au imenyang’anywa silaha na kwamba kwa siri wangeunga mkono shambulio ldhidi ya iran kutoka ama kwa marekani au kwa israel.

English

there is now evidence that egypt is aiding israel in isolating hamas, that mubarak has nothing but utter hatred for the muslim brotherhood and utter distrust towards qataris and syrians, that the entirety of the arab gulf region, including qatar, are weary of iran’s lies and would love to see iran gone or disarmed, and that they all would secretly support a strike on iran from either the us or israel.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pata habari za kombe la mataifa ya afrika yanayofanyika nchini angola moja kwa moja: "kwa wale ambao wangependa kuangalia kombe la mataifa ya afrika 2010 kwenye mtandao, kutakuwa na tovuti za michezo zinazotoa mtiririko wa mapambano ya mpira moja kwa moja mtandaoni, bure."

English

get live feed of the african cup of nations taking place in angola: "for those who wish to watch african cup of nations 2010 online, there will be some sports online streaming sites which will provide live feed of the soccer games for free."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK