Results for wapiganaji translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

wapiganaji

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

makundi kama ymca yamekuwa yakiwafunza wapiganaji wa zamani kwa ajili ya ajira au kuanza biashara zao wenyewe.

English

groups like the ymca have been training ex-combatants for employment or to start their own businesses.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inakadiriwa kwamba watoto, wengi wakiwa kati ya miaka minane na 16, wanakaribia asilimia 60 ya wapiganaji katika eneo hilo.

English

it is estimated that children, most between 8 and 16 years old, make up 60% of combatants in the region.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kichwa cha habari kinasomeka, "wapiganaji wa yemen wa ansar hezbollah waidhalilisha israel na marekani."

English

the title reads, "yemen's ansar hezbollah humiliate israel and america."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

polisi wa uganda wameeleza kwamba huenda milipuko hiyo imefanywa na kikosi cha wapiganaji wa ki-somali cha al-shabab.

English

ugandan police have suggested that somali militant group al-shabab was behind the attacks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama hali hii itaendelea, haitashangaza pale vikosi vya ki-mao vitakapoamua kurejea msituni au serikali itakapoweka chaguo maalum dhidi ya wapiganaji wa kikabila.

English

if the situation continues, it won't be surprising when the moist battalions decide to return jungle or government imposes special op against ethno-political combatants.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanamgambo mbalimbali wa kidini na kiislamu pia wanatumia eneo hilo kwa kuendesha mafunzo kwa ajili ya kuandaa wapiganaji wa vita nchini irani na afghanistani, nchi zote zikiwa kwenye mpaka wa balochistan.

English

various sectarian and islamist militias also use the area for recruitment training to fight wars in iran and afghanistan, both of which border balochistan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mashambulizi hayo yaliyotokea muda ule ule kwenye kanisa la our lady of consolation na katika kanisa la protestant africa inland church katika mji wa kaskazini wa garissa yanakuwa matukio ya hivi karibuni zaidi katika matukio kadhaa tangu wanajeshi wa kenya walipopelekwa nchini somalia mwezi oktoba kuwaangamiza wapiganaji wa al-shaabab.

English

the simultaneous attacks on our lady of consolation cathedral and the protestant africa inland church in the northern town of garissa were the most recent in a series of incidents since kenyan troops were sent into somalia in october to crush al-shabaab militants.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kayhan, gazeti lililo na uhusiano na kiongozi mkuu wa kidini, ayatollah khamenei, katika ukurasa wake wa mbele lilichapisha picha ya kijana wa yemen wa kihouthi akiwa amekalia kitu ambacho kilionekana kama mabaki ya roketi yaliyotokana na mashambuli ya anga ya ndege za kivita za saudi arabia dhidi ya wapiganaji wa houthi.

English

kayhan, a newspaper associated with supreme leader ayatollah khamenei's office, published their frontpage with the photo of a young houthi yemeni boy sitting on what seems to be rocket that remains from the saudi arabian airstrikes against houthi fighters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliaminika kama “mmoja wa wapiganaji gorila mwenye uchu wa damu" ,kulikuwa na hati 62 za kuamrisha kukamatwa kwake, aliwahi kuhukumiwa mara 5, na marekani ilikwishaomba kukamatwa na kusafirishwa kwa mtu huyo kwenda marekani kujibu tuhuma zinazohusiana na usafirishaji madawa ya kulevya, na iliahidi kutoa zawadi kwa kukamatwa kwake.

English

regarded as "one of the most blood-thirsty" guerrillas , he had 62 arrest warrants against him, had been sentenced 5 times, and the united states had asked for his extradition for drug-trafficking related charges, offering a reward for his capture.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,744,665,905 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK