From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wewe umewafanya wawe ufalme wa makuhani wamtumikie mungu wetu nao watatawala duniani."
and hast made us unto our god kings and priests: and we shall reign on the earth.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, maana bwana mungu atawaangazia, nao watatawala milele na milele.
and there shall be no night there; and they need no candle, neither light of the sun; for the lord god giveth them light: and they shall reign for ever and ever.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wameneemeka sana, tena heri yao wote wanaoshiriki ufufuo huu wa kwanza. kifo cha pili hakitakuwa na nguvu juu yao; watakuwa makuhani wa mungu na wa kristo, na watatawala pamoja naye kwa miaka elfu moja.
blessed and holy is he that hath part in the first resurrection: on such the second death hath no power, but they shall be priests of god and of christ, and shall reign with him a thousand years.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kweli, kwa dhambi ya mtu mmoja kifo kilianza kutawala kwa sababu ya huyo mtu mmoja; lakini, ni dhahiri zaidi kwamba alichokifanya yule mtu mmoja, yaani yesu kristo, ni bora zaidi. wote wanaopokea neema na zawadi hiyo ya kukubaliwa kuwa waadilifu, watatawala katika uzima kwa njia ya huyo mmoja, yaani yesu kristo.
for if by one man's offence death reigned by one; much more they which receive abundance of grace and of the gift of righteousness shall reign in life by one, jesus christ.)
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: