Results for watoa huduma wote translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

watoa huduma wote

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

picha ya tovuti ya reahu.net inavyochujwa na watoa huduma za intaneti nchini kampuchea.

English

screenshot of reahu.net site being filtered by cambodia's internet service providers

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo, watoa huduma ya afya wanapaswa pia kuvaa vikinga uso vinavyoona au miwani wakiwa wanashughulikia wagonjwa.

English

thus, health-care providers should also wear transparent face shields or goggles while working with patients.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pamoja na barakoa, watoa huduma ya afya wanapaswa kuvaa magwanda yenye vipengele hitajika ili kupuguza zaidi mgusano na virusi.

English

in addition to masks, health-care providers should wear fitted isolation gowns in order to further reduce contact with viruses.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tarehe 20 januari, maambukizi miongoni mwa watoa huduma ya matibabu yaliripotiwa, na kuashiria kuwa maambukizi kutoka kwa binadamu hadi binadamu yaliwezekana.

English

on january 20, the infection of health-care providers was reported, suggesting that human-to-human transmission was possible.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hivyo, watoa huduma wawili wakuu wa mfumo wa gp waliongeza majina yanayoonyeshwa kwenye jedwali la 4 kama misimbo ya ndani ya mfumo mpana.

English

therefore, the two main gp system suppliers added the five terms shown in table 4 as system-wide local codes.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watoa huduma wa kawaida wa mfumo wa kliniki wamezindua kwa dharura kikundi kipya cha misimbo ya kikliniki ya kusaidia katika uchunguzi wa covid-19.

English

general practice clinical system providers have introduced an emergency new set of clinical codes to support covid-19 surveillance.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vijana wa kike na wanawake wenye umri mdogo walibainisha kwamba vijana hupata huduma duni ( kwa mfano, ukosefu wa usiri, mtazamoa wa kuhukumu) kutoka kwa baadhi ya watoa huduma

English

: agyw, hcps, and policymakers reported that the current health care system could impede prep delivery and uptake. agyw and hcps noted that adolescents receive poor quality care (e.g., lack of confidentiality, judgmental attitudes) by some providers.

Last Update: 2018-03-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hivyo, tahadhari kubwa inapaswa kuchukuliwa ili kuwalinda binadamu, hasa watoa huduma ya afya, wafanyakazi wa jamii, wanafamilia, wafanyakazi wenza na hata watu wengine wanaowagusa wagonjwa au watu walioambukizwa.

English

thus, great precaution should be used to protect humans, especially health-care providers, social workers, family members, colleagues, and even bystanders in contact with patients or infected people.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vijana wa kike na wanawake wenye umri mdogo na watoa huduma za afya walibainisha kwamba vijana hupata huduma duni ( kwa mfano, ukosefu wa usiri, mtazamoa wa kuhukumu) kutoka kwa baadhi ya watoa huduma

English

: agyw, hcps, and policymakers reported that the current health care system could impede prep delivery and uptake. agyw and hcps noted that adolescents receive poor quality care (e.g., lack of confidentiality, judgmental attitudes) by some providers.

Last Update: 2018-03-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huko kambodia, serikali inapendekeza kuanzishwa kwa kituo cha taifa cha usambazaji ili kudhibiti watoa huduma za intaneti, kituo hicho kina nia ya kuimarisha usalama wa kwenye mtandao dhidi ya picha za ngono, wizi pamoja na uhalifu mwingine wa kwenye mtandao.

English

in cambodia, the government is proposing to establish a state-run exchange point to control all local internet service providers which is intended to strengthen internet security against pornography, theft and other cybercrimes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

giulio gallera, kamishna wa afya wa mkoa wa italia, alisema kuwa amearifiwa na watoa huduma ya simu ya mkononi kuwa "asilimia 40 ya watu waendelea kutembea-tembea tu".

English

italian regional health commissioner giulio gallera said he has been informed by mobile phone operators that "40% of people are continuing to move around anyway".

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kulikuwa na hali changamano iliyoongezeka kwa kuwa baadhi ya watoa huduma za rekodi za matibabu zilizowekwa kwenye kompyuta (crm) hutumia mifumo ya usimbaji ya uliosomwa ( toleo la majina yaliyosomwa ya kimatibabu 3 - ctv3), ambao hausaishwi tena.

English

there was added complexity as some computerized medical record (cmr) suppliers use the read coding systems (read clinical terms version 3 – ctv3), which is no longer updated.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tusiangalie intaneti kama tu njia kuu ya mawasiliano bali pia kama bidhaa, watu majumbani wanalipia kiwango kizuri cha pesa kila mwezi ili kuweza kutumia intaneti, na wanaridhia kufanya hivyo, kwa kuzingatia ukweli kwamba yanawekeza vikubwa kwenye mitandao na teknolojia ili kuweza kufikisha huduma zao majumbani na kwenye biashara mbalimbali nchini, je itakuwaje, katika mazingira haya, kama watu wataacha kulipia huduma za intaneti au wakichukua hatua nyingine kama vile kuchangia malipo, watoa huduma za kuunganisha intaneti watawezaje kutetea uwekezaji na juhudi zao za kuboresha huduma wakati serikali haisaidii lolote.

English

let’s not look at the internet as the super highway of information but look at it as a product, the people in their homes are paying a good amount of money and on a monthly bases just to access the internet and have a good time doing so, based on that fact are heavily investing in networks and technology to get that connection to every home and business in the country; what if people based on giving these circumstances stop subscribing to internet services or resorting to other options like subscription sharing, how can these isp’s justify their investment and effort to improve services when the government is not helping at all.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,782,804,911 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK