Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wenye ulemavu
disabilities
Last Update: 2022-02-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hapa chini ni video kuhusu maono ya kikundi hicho cha wapiga kura wenye ulemavu na magonjwa nadra :
below is a video about the vision and missing of the new association of voters with disabilities and rare diseases group :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@laotianmama anawakumbusha akina mama wa lao kutokuwalisha watoto wenye njaa wali unaonata ambao ni chakula cha asili kwao.
@laotianmama reminds lao mothers not to give sticky rice, a traditional lao food, to hungry babies:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kundi jipya la kisiasa linalowakilisha watu wenye ulemavu au magonjwa nadra limejiwasilisha kwa uchaguzi wa umoja wa ulaya leo mei 25.
a new political group representing people with disabilities and rare diseases has presented itself to the european elections today may 25.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
warsha iliwaelimisha na kuwafunza vijana wenye ulemavu kuwafanya hatimaye waweze kuwafunza wananchi wengine namna ya kutumia zana kama twita na facebook.
the workshop educated and trained the disabled so that they can in turn educate the public using tools such as twitter and facebook.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
habari zaidi kuhusu warsha hii zinapatikana kupitia ukurasa wa osiwa , katika mtandao wa facebookukurasa wa osiwa katika mtandao wa twita na ukurasa wa facebook wa shirika la vijana wenye ulemavu aywdn
there are photos, posts and tweets about the workshop on osiwa facebook page, osiwa twitter page and aywdn facebook page.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
masomo ya kiwango cha chekechea kwa kawaida huundwa kwa ajili ya watoto wenye umri wa chini ya miaka 3 yanaweza kurejelea masomo yote ya viwango vya chekechea na mipango fulani ya kutunza watoto nyakati za mchana.
early childhood educational programmes are usually designed for children below the age of 3 and may refer to preschools, nursery schools, kindergartens, and some day care programmes.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kundi hili liliundwa ili kuwaleta pamoja vijana kutoka barani barani kwa lengo la kuunda jamii zilizopamoja ambapo watu wenye ulemavu wanaweza kuishi maisha mazuri zaidi na yenye staha na kuchangia na hata kubadili mwelekeo wa mijadala ya ndani ya kisiasa
this group was created as a way to bring together young africans from across the continent with the aim of creating inclusive societies where people with disabilities can live better lives with dignity and contribute to and influence the internal political debates.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jukwaa la uchaguzi linajumuisha masuala kama ajira, kwa vile wao wanathibitisha kwamba vijana wenye ulemavu huwa na kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira kinachozidi 60%, na hivyo kuzuia kujitawala kwao na uhuru.
the electoral platform centers on issues like employment, since they affirm that young people with disabilities have an unemployment rate that exceeds 60%, thereby preventing their autonomy and independence.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tumezungumzia kampeni hiyo, maisha ya wanawake nchini saudi, na jinsi wanaharakati walivyowachukulia wapinzani wa kampeni hiyo kama alivyofanya mhubiri mmoja siku za hivi karibuni aliposema, "tumegundua kuwa wale wanaoendesha magari wanajifungua watoto wenye vilema vya aina mbalimbali."
we talked about the campaign, life for women in saudi, and how activists handle naysayers like the cleric who recently said "we find that most of those who drive cars continuously deliver children with varying degrees of clinical dysfunction.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ili kupingana na ubaguzi na kubadilisha mtazamo wa watu, inatubidi tuanze kuongea kuhusu vijana wenye ulemavu majumbani mwetu, kwa majirani zetu, na hata kwa kiwango cha nchi na pia kote duniani. wafadhili, serikali, na vyombo vya habari wanapaswa kuchukua hatua za haraka kushughulikiwa suala hili.
to fight discrimination and change public perceptions, we need to begin talking about youth with disabilities in our homes, our neighborhoods, and on the national and international stage.donors, governments, and the media need to give this issue urgent attention.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uzinduzi huo uliokuwa na kauli mbiu ya”kuhamasisha ushiriki ulioerevuka wa vijana katika uchaguzi wa 2012” ulihudhuriwa na washiriki kutoka shule za sekondari ndani ya mji wa winneba, umoja wa watu wenye ulemavu wa mji huo, wanafunzi wa chuo kikuu cha ualimu, winneba, azise kama plan ghana na umma kwa ujumla.
the launch which was under the theme encouraging informed youth participation in the 2012 elections saw participants from senior high schools within winneba, the local union for the physically challenged in winneba as well as other physically challenged people, students from university of education, winneba, ngos such as plan ghana and the general public.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
open society foundation, shirika la uwazi katika jamii wakishirikiana na mpango wa haki za walemavu (disability right initiative, dri, wameungana kuunda shirika litakalowahudumia vijana wa ki-afrika wenye ulemavu - shirika litakaloitwa mtandao wa vijana wa ki-afrika wenye ulemavu.
open society foundation and disability right initiative have formed an organization to cater specifically to the disabled african youth - african youth with disability network.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: