Results for watu wa nchi hii ni wakarimu na w... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

watu wa nchi hii ni wakarimu na wacheshi sana

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wawekeni watu wa nchi hii inayopendeza kwenye maombi yenu.

English

keep the people of this beautiful country in your prayers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku moja, vizazi vijavyo vitahukumu vigogo na wanasiasa wa nchi hii ambao kazi kubwa ni kuitafuna nchi au kutumia vibaya fedha za umma zinazohitajika sana.

English

one day, posterity will judge the quangos and political leaders of this country whose main pre-occupation is keeping the country on its knees or embezzle and waste much needed public funds.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

balik cina inahamasisha kukusanywa kwa nukuu zote nzuri na zenye hamasa zinazotolewa na wanasiasa wa malaysia na watu maarufu wa nchi hii.

English

balik cina aspires to be the finest collection of all beautiful and inspirational quotes by malaysian politicians and public figures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jambo la mwisho tunalolihitaji katika nchi hii ni maafisa, ambao kimsingi wangepaswa kujua zaidi, wawe wachuuzi ghasia na vitisho,

English

the last thing we need in this country is for officials, who should know better, to be purveyors of violence and intimidation, themselves.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, tafadhali, raia wenzangu wa zedi hebu tuige wanavyofanya watu wa nchi nyingine na kuwaunga mkono wawakilishi wetu wengine waliobaki katika mashindano ya bba.

English

so please, my fellow zedians lets emulate other countries and do the rest for our surviving bba stargame inmates.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika ilikuwapo ishara kwa (watu wa nchi ya) sabaa katika maskani yao - bustani mbili, kulia na kushoto.

English

assuredly there was for saba a sign in their own dwelling- place: two gardens on the right hand and on the left.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchi hii ni miongoni mwa nchi za ulaya zinazoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya utoaji mimba kwa mwaka, pamoja na kuwa kuna dalili dhahiri za kupungua kwa matukio ya utoaji mimba.

English

ukraine is one of the leading countries in europe in the annual number of abortions, although there is a clear downward tendency.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuwa ilikuwa ni sehemu moja pekee ambapo mchezo wa kuteleza barafuni uliweza kufanyika katika nchi hii ya milimamilima, milima hii ni maarufu sana kwa wale walio kwenye idara ya la paz, na pia kwa wageni wapenda kuvumbua mambo mapya.

English

as it once was one of the only places to snow ski in this mountainous country, these mountains are well-known to those in the department of la paz, as well as foreign adventurers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hebu na tutumie kifo hiki cha mtu wetu kama wakati wa kubadili mwelekeo ili kujipatanisha na mitazamo tofauti ya watu wa nchi yetu badala la kuishia kumtupia lawama mtu aliyeimba wimbo.

English

let us use this man's death as a turning point to reconcile ourselves to the different views of the people in the country rather than lying the blame with someone singing a song.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa ni uzalendo au sivyo, jambo la muhimu si kujua wapi mtoto alizaliwa, lakini muhimu ni kutazama wajibu wake kama raia wa nchi hii, na vingapi vizuri amevifanya kwa ajili ya nchi hii.

English

whether one is patriotic or not, the most important thing is not to find out where the child was born, but to see his role as a citizen in this country, and how many good deeds he has done.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliyekuwa katibu mkuu wa nato wa masuala ya uhusiano wa kimataifa kolinda grabar kitarović amechaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi ya croatia, kwa kumshinda rais aliyemaliza muda wake katika uchaguzi wa kwanza kabisa mara baada ya nchi hii ndogo ya ulaya ya kusini kujiunga na jumuia ya umoja wa ulaya mapema mwaka jana.

English

former nato assistant secretary general for public diplomacy kolinda grabar kitarović has been elected croatia's first woman president, defeating the incumbent president in the first presidential elections since the small southeastern european country joined the european union last year.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muswada huu unakusudia kuimarisha uwezo wa nchi wa kupambana na matishio yanayoanza kujitokeza ya ndani na nje dhidi ya familia za kitamaduni baina ya watu wa jinsia tofauti.

English

this bill aims at strengthening the nation’s capacity to deal with emerging internal and external threats to the traditional heterosexual family.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika ilikuwapo ishara kwa (watu wa nchi ya) sabaa katika maskani yao - bustani mbili, kulia na kushoto. kuleni katika riziki ya mwenyezi mungu, na mumshukuru.

English

certainly there was a sign for saba in their abode; two gardens on the right and the left; eat of the sustenance of your lord and give thanks to him: a good land and a forgiving lord!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@usembassykrt: upatikanaji wa intanenti na pengine simu za mkononi zinaweza kuwa na matatizo ya upatikanaji au kutokupatikana kabisa nchini humu kufuatia upinzani wa umma dhidi ya serikali na maandamano yanayoendelea katika mji mkuu wa nchi hii.

English

@usembassykrt: internet access and possibly cell phones may be disrupted or limited in sudan due to the protests and demonstrations in the capital city.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

henceforth, kama raia wa nchi hii, na pia kama watu na wanaharakati wa haki za kimapenzi wanasimamia wazo la kupinga ubepari na kupigania jamii ya kimapinduzi na kidemokrasia , tunaomba maelezo kuhusu kigezo ambacho tayari kimetajwa na tume ya bunge ikifuatiwa na amri ya kutoa, kwenye toleo ya sheria na 11, pendekezo la kurekebisha muswada wa sheria ya kazi.

English

henceforth, as citizens of this country, and also as human and sexual rights activists standing up for the idea of an anticapitalist, revolutionary and democratic society, we request a public explanation regarding the criteria which the already mentioned parliamentary commission followed in order to exclude, from the final version of law no 11, the proposal to amend the draft of the labor code.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

grabar kitarović ambaye ni mwanachama wa chama cha umoja wa demokrasia ya raia wa crotia, chama kilichosimamia kupatikana kwa uhuru wa nchi hii mwaka 1992, amenuia kurudisha kile alichokiita "hulka ya watu wa crotia", pamoja na kusisitiza mambo ya "kiutamaduni".

English

a member of the croatian democratic union, the party instrumental in croatia gaining independence in 1992, grabar kitarović is eager to bring what she has called "the croatian spirit" back, as well as re-enforce "traditional" values.

Last Update: 2024-04-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,800,208,943 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK