Ask Google

Results for watumie translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Kwame Aboagye alisema ni wakati sasa wa-Afrika watumie lugha zao wenyewe:

English

Kwame Aboagye said it is time Africans used their languages:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nadhani inatakiwa kufanyika pote, hata kwenye maeneo ya kazi ya utawala wa juu watumie vyoo hivyo hivyo!

English

I think it should be done across the board, even at work places top management sharing the same toilets!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Changamoto katika nchi hizi ni kuwa lazima wakaguzi watumie njia ambazo zina ubunifu mkubwa, uangalizi wa kiteknolojia, usio na gharama kubwa lakini ambao ni madhubuti.

English

Challenges in developing countries mean that investigators have to think creatively and come up with effective analytical techniques that cost pennies and are robust.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakiachwa watumie mbinu zao wenyewe watu wengi wataishia kwenye njia endelevu za kujikimu, amabzo zitapelekea kwenye mizani butu kati ya rasilimali zilizoko duniani na watu wake.

English

Left to their own devices many people would gravitate to life-sustaining resources, leading to a rough equilibrium between the world's resources and its population.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Waume zao hawatumii kondomu na wanapenda wake zao watumie mbinu nyingine za kupanga uzazi; kwa hiyo njia rahisi inayopatikana kirahisi na yenye ufanisi ya kutumia kondomu haipendwi na wanaume, hiyo ikifanya suala la kujikinga na mimba zisizotarajiwa kuwa ni wajibu wa mwanamke.

English

Their husbands were not keen on using condoms and preferred that their wives used contraception instead; so the inexpensive, easily available and quite effective condom for men was not an option, leaving contraception entirely up to the women.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakati Msfour, mfanyakazi wa Kimarekani anayeishi Kairo, alikuwa wa kwanza kuwataka wanablogu wanaotumia Twita kutumia kielelezo cha #cairobomb, Arabawy ndiye alikuwa wa kwanza kuwataka wanablogu watumie kielelezo jumuishi cha delicious: El-HusseinExplosion ili kukusanya viunganishi vyote chini ya anwani pepe moja.

English

And while Msfour, and American expat living in Cairo, was the first to ask bloggers on Twitter to use the tag #cairobomb, Arabawy was the first to ask bloggers to use a unified delicious tag: El-HusseinExplosion to pool all links under the same URL.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK