From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nisikilizeni: wamekuwa wavivu tu.
listen to me well: they're just being lazy.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mbwa mwitu mweusi hupuka juu ya mbwa wavivu
the quick brown fox jumps over the lazy cat
Last Update: 2018-10-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sisi siyo watu wavivu, bali tunastahili kupata zaidi zaidi.
we are not lazy but deserve more.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
msiwe wavivu, bali muwe kama wale wanaoamini na wenye uvumilivu na hivyo wanapokea yake aliyoahidi mungu.
that ye be not slothful, but followers of them who through faith and patience inherit the promises.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ninyi wenyewe mnajua kwamba mnapaswa kufuata mfano wetu. sisi tulipokuwa nanyi hatukuwa wavivu;
for yourselves know how ye ought to follow us: for we behaved not ourselves disorderly among you;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kama ukiangalia ripoti ya awali ya gazeti la munhwa, unaweza kuona jinsi walikuwa wavivu katika kuripoti suala hili.
if you look at munhwa newspaper's initial report, you can see how lazy they were in reporting this issue.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ndugu, tunawaamuru kwa jina la bwana wetu yesu kristo, mjiepushe na ndugu wote walio wavivu na ambao hawafuati maagizo tuliyowapa.
now we command you, brethren, in the name of our lord jesus christ, that ye withdraw yourselves from every brother that walketh disorderly, and not after the tradition which he received of us.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ndugu, tunawahimizeni muwaonye watu walio wavivu, muwatie moyo watu wanyonge, muwasaidie watu dhaifu, muwe na subira kwa wote.
now we exhort you, brethren, warn them that are unruly, comfort the feebleminded, support the weak, be patient toward all men.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunasema mambo hayo kwa sababu tumesikia kwamba wako baadhi yenu ambao ni wavivu na ambao hawafanyi chochote, isipokuwa tu kujiingiza katika mambo ya watu wengine.
for we hear that there are some which walk among you disorderly, working not at all, but are busybodies.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nimesikia kesi nyingi ambazo kazi za marafiki zangu (maandiko ya blogu, picha na mawazo) yameibwa na waandishi habari wavivu.
i heard about many many cases in which my friends content ( blog entries , pictures and ideas ) have been stolen by some lazy journalists.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
haya ni maoni yao na, kwa kiasi kikubwa, hayana sumu wala hayaathiri mazingira ukiachilia imani ya mama yangu kwamba wanaume wote ni wavivu na ile ya baba yangu kwamba wanawake wote hutoa ushauri usio na kichwa wala miguu.
these are their opinions and, by and large, are no more toxic or damaging to the environment than my mother’s belief that all men are inherently lazy and my father’s belief that all women give terrible advice.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata mmoja wa manabii wao, ambaye naye pia ni mkrete, alisema: "wakrete, husema uongo daima; ni kama wanyama wabaya, walafi na wavivu!"
one of themselves, even a prophet of their own, said, the cretians are alway liars, evil beasts, slow bellies.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting