From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sisi tunajua wayasemayo.
we are aware of what they describe.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
sisi tunajua kabisa wayasemayo.
indeed, we know what they say.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na vumilia hayo wayasemayo, na jitenge nao kwa vizuri.
and be patient (o muhammad saw) with what they say, and keep away from them in a good way.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
kinga maovu kwa kutenda yaliyo mema zaidi. sisi tunajua wayasemayo.
repel evil by what is best; we know best what they describe.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
subiri kwa hayo wayasemayo, na umkumbuke mja wetu daudi, mwenye nguvu.
be patient (o muhammad saw) of what they say, and remember our slave dawud (david), endued with power.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na sisi tunajua kwa hakika kuwa wewe kifua chako kinaona dhiki kwa hayo wayasemayo.
and assuredly we know that thou straitenest thy breast by that which they say.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanablogu wa thots here and there anaamini kwamba viongozi ni lazima watende wayasemayo kabla ya kutekeleza sera zozote:
thots here and there believes that leaders should walk the talk before implementing any policies:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
subiri kwa hayo wayasemayo, na umkumbuke mja wetu daudi, mwenye nguvu. hakika yeye alikuwa mwingi wa kutubia.
(muhammad), bear patiently what they say and recall our servant, david, who had strong hands and who was most repentant.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
yavumilie haya wayasemayo. na umtakase mola wako mlezi kwa kumsifu kabla ya kuchomoza jua, na kabla halijachwa, na nyakati za usiku pia umtakase, na ncha za mchana ili upate ya kukuridhisha.
(muhammad), have patience with what they say, glorify your lord, and always praise him before sunrise, sunset, in some hours of the night and at both the beginning and end of the day, so that perhaps you will please your lord.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: