From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kuna wazee na wanawake hapa!
there are many elderly people and women here!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tutakuwa jiji la wazee na vijana
we will be a city for the young and old.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na manabii wangapi tuliwatuma kwa watu wa zamani!
and how many a prophet have we sent among the ancients.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wala hatakuamrisheni kuwafanya malaika na manabii kuwa ni miungu.
a prophet would never order you to take the angels and the prophets as your lords.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
jihadharini basi, msije mkapatwa na yale yaliyosemwa na manabii:
beware therefore, lest that come upon you, which is spoken of in the prophets;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto
ministry for health, community development,gender the elderly and children
Last Update: 2021-08-26
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na manabii wangapi walipigana na pamoja nao waumini wengi wenye ikhlasi!
and how many a prophet [fought and] with him fought many religious scholars.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakika sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi nuhu na manabii walio kuwa baada yake.
indeed, we have revealed to you, [o muhammad], as we revealed to noah and the prophets after him.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi.
and are built upon the foundation of the apostles and prophets, jesus christ himself being the chief corner stone;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
basi, wakampeleka yesu kwa kuhani mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee na walimu wa sheria walikuwa wamekutanika.
and they led jesus away to the high priest: and with him were assembled all the chief priests and the elders and the scribes.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wala hatakuamrisheni kuwafanya malaika na manabii kuwa ni miungu. je, atakuamrisheni ukafiri baada ya kuwa nyinyi waislamu?
and neither would he enjoin you that you should take the angels and the prophets for lords; what! would he enjoin you with unbelief after you are muslims?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ambao walimuua bwana yesu na manabii, wakatutesa na sisi pia. watu hao wanamchukiza mungu, tena ni adui za kila mtu!
who both killed the lord jesus, and their own prophets, and have persecuted us; and they please not god, and are contrary to all men:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je, unajifanya mkuu zaidi kuliko baba yetu abrahamu ambaye alikufa? hata na manabii walikufa. wewe unajifanya kuwa nani?"
art thou greater than our father abraham, which is dead? and the prophets are dead: whom makest thou thyself?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kampeni ya kukumbatia inawahamasisha vijana kuwapigia simu, kusikiliza uzoefu wa wazee na kuwauliza siku yao imeendaje na shiriki masimulizi yako na rafiki yako mzee.
the hug campaign encourages you to simply give a call, listen to experiences, ask how the day was and share your stories with your elder friend.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ripoti moja ya cnn ilionyesha kuwa mchanganyiko wa idadi ya watu wengi walio wazee na kutoweza kupima wote walio na virusi hadi sasa huenda inachangia idadi kubwa ya vifo.
a cnn report indicated that the combination of italy's large elderly population and inability to test all who have the virus to date may be contributing to the high fatality rate.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baadhi ya watu wanaamini kuwa, huu ni mwanzo wa mabadiliko barani afrika na ni muda wa kuwaondoa viongozi wazee na kuwapa nafasi vijana walipeleke bara la afrika kwenye mafanikio zaidi.
some people believe this is the beginning of change in africa and its time to get rid of the overly old leaders and allow young people to take the continent forward.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata hivyo, ufanisi wa chanjo hizi kwa watu wazee na miundo ya viwango vyao kuuwa virusi na ulinzi wa dhidi ya virusi vinavyotokana na wanyama bado haujabainishwa kabla utafiti wa kimatibabu uanzishwe.
however, the in vivo efficacy of these vaccine candidates in elderly individuals and lethal-challenge models and their protection against zoonotic virus infection have yet to be determined before a clinical study is initiated.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
yesu aliwachukua kando wale kumi na wawili, akawaambia, "sikilizeni! tunakwenda yerusalemu na huko kila kitu kilichoandikwa na manabii kuhusu mwana wa mtu kitakamilishwa.
then he took unto him the twelve, and said unto them, behold, we go up to jerusalem, and all things that are written by the prophets concerning the son of man shall be accomplished.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ndipo mtakuwa na kulia na kusaga meno, wakati mtakapowaona abrahamu, isaka na yakobo, na manabii wote wapo katika ufalme wa mungu, lakini ninyi wenyewe mmetupwa nje!
there shall be weeping and gnashing of teeth, when ye shall see abraham, and isaac, and jacob, and all the prophets, in the kingdom of god, and you yourselves thrust out.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
saudia arabia inaelewa changamoto iliyonayo tayari na imeamua kushughulikia hali hiyo kwa kadiri inavyoweza katika omra na hija, inashauri kuwa mahujaji wajawazito, wazee na watoto waepuke kuhiji mwaka huu, ninauheshimu uamuzi huu.
saudi arabia understands the challenge it is facing already and decided to deal with the situation as much as it can in the omra and pilgrimage , it recommends that pregenant women , elderly and kids to avoid pilgrimage this year , i really respect this move.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: