From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
anaweka ramani ya matokeo na kuongeza dokezo la wizi wa kura:
he shares a map of the results and adds a note about electoral fraud:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
china: kashfa ya wizi wa kitaaluma uliofanywa na wang hui, mtazamo wa kimataifa
china: wang hui's plagiarism scandal, international turn · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
bado haijafahamika sawasawa ni kiasi gani mafanikio ya chama cha united russia yametokana na wizi wa kura na tuhuma za vitendo visivyokubalika.
it remains unclear how much of united russia’s success is due to fraud and other illegal actions.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zaidi ya hapo, ukweli kwamba hapakuwepo na tuhuma zozote za wizi wa kura, kunaufanya ushindi wake uwe wa haki na wa kuvutia.
furthermore, the fact that there were no any reported cases of rigging, makes his win even more credible and even more and more wonderful.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@nosivid: nana addo anazunguka akirudia madai yale yale ya wizi wa kura akidai ana ushahidi na ametaka maelezo #ghanadecides
@nosivid: nana addo goes round repeating bogus allegations of electoral fraud with the claim of having evidence and calls it explanation #ghanadecides
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
yote yanaelezea hisia kwamba uchaguzi wa nchi ya bongo huenda ukakumbwa na wizi wa kura ili kukipendelea chama kinachotawala hasa kipindi hiki ambapo kunaonekana kuwa na shauku ya mabadiliko ya utawala katika nchi ya mwalimu julius nyerere.
they are all expressing fear that bongoland’s elections may be rigged in favor of the ruling party based on the mood in the country that seems to be craving for regime change in the land of mwalimu julius nyerere.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kudai, mara kwa mara, kwamba mfumo ulikuwa umekaguliwa vya kutosha, na kwamba upinzani umeweza kuweka waangalizi katika asilimia 100 ya vituo vya upigaji kura, hakuna ten nafasi ya kuendekeza wazo la wizi wa kura.
by claiming, repeatedly, that the system had been sufficiently audited, and that the opposition had managed to place witnesses in 100% of voting centres nationwide, there is no room for further entertaining the thought of fraud.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wapo waliomtetea wangu hui; wapo waliosema kwamba kitendawili hicho kinatokana na kutokutaja vitabu vya rejea kwa kufuata utaratibu wa kawaida zaidi kuliko kufanya wizi wa kitaaluma kwa makusudi; wapo ambao wamependekeza ufanyike uchunguzi wa kina ukiongozwa na kamati huru ya wanataaluma.
some defended wang hui; some pointed out that the dilemma is one of non-standard citation rather than of intentional plagiarism; some have suggested a thorough investigation be led by an independent academic committee.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@kwasireports: "nitaenda mahakamani"-nana akuffo-addo amethibitisha wakati chama cha npp kikiandaa ushahidi kuyapa nguvu madai yao ya wizi wa kura uliofanywa na chama cha ndc #ghanadecides #amaniee
@kwasireports: "i'll go2 court"-nana akuffo-addo reaffirms as npp preps evidence 2 back claims of electoral fraud by rulin ndc #ghanadecides #amaniee
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.