From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hakika atampa madaraka juu ya mali yake yote.
of a truth i say unto you, that he will make him ruler over all that he hath.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kweli nawaambieni, atamweka mtumishi huyo aisimamie mali yake yote.
verily i say unto you, that he shall make him ruler over all his goods.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
naye anajua makao yake na mapitio yake. yote yamo katika kitabu chenye kubainisha.
and he knows its dwelling place and its deposit (in the uterous, grave, etc.). all is in a clear book (al-lauh al-mahfuz - the book of decrees with allah).
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
msiambiane uongo, kwani ninyi mmekwisha vua ule utu wa kale pamoja na matendo yake yote,
lie not one to another, seeing that ye have put off the old man with his deeds;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hivi sasa habanduki kutoka kwenye kiti cha matairi cha walemavu, na hili litakuwa jambo la maisha yake yote.
he is now in a wheelchair for the rest of his life.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anastahili kuwa jela kwa maisha yake yote yaliyobaki kwa kutoa maisha ya roho zisizo na hatia na kuota uhai wa mama kutoka kwa mwanawe.
he deserves to be behind bars for the rest of his life for taking the life of innocent souls and take the life of a mother from her child
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
halafu akawachukua paulo na sila nyumbani kwake, akawapa chakula. yeye na jamaa yake yote wakafanya sherehe kwa vile sasa walikuwa wanamwamini mungu.
and when he had brought them into his house, he set meat before them, and rejoiced, believing in god with all his house.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini krispo, mkuu wa sunagogi, alimwamini bwana yeye pamoja na jamaa yake yote. wakorintho wengi waliusikiliza ujumbe huo, wakaamini na kubatizwa.
and crispus, the chief ruler of the synagogue, believed on the lord with all his house; and many of the corinthians hearing believed, and were baptized.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa maoni yangu, dini ya kweli haipaswi kufumbia macho maovu, ukandamizaji, unyonyaji, ukoloni katika mifumo yake yote pamoja na maovu mengine.
in my opinion, true religion must not be indifferent to injustices, oppression, exploitation, colonialism in all its forms and other vices.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kulikuwa na mwanamke mmoja kati ya lile kundi la watu, ambaye alikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, ingawa alikuwa amekwisha tumia mali yake yote kwa waganga, hakuna aliyefaulu kumponya.
and a woman having an issue of blood twelve years, which had spent all her living upon physicians, neither could be healed of any,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
huyo baba akakumbuka kwamba ilikuwa ni saa ileile ambapo yesu alimwambia: "mwanao yu mzima." basi, yeye akaamini pamoja na jamaa yake yote.
so the father knew that it was at the same hour, in the which jesus said unto him, thy son liveth: and himself believed, and his whole house.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wakati huohuo, pleasure, blogu mpya ya mwandishi wa kitrinidadi, andre bagoo (ambaye pia ana blogu yake binafsi, tattoo), inashughulikia "sanaa katika miundo yake yote", ambapo hivi karibuni ilijumuisha mfululizo wa mahojiano yaliyoanza na m-trinidad mshairi anayeishi uingereza, vahni capildeo.
and pleasure, a new blog by trinidadian writer andre bagoo (who also has a personal blog, tattoo), covers "art in all its forms", including a recently launched interview series which began with uk-based trinidadian poet vahni capildeo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.