Results for yanayofanywa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

yanayofanywa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wengine walikosoa kukosekana kwa uwazi kwa yale yanayofanywa na wizara za serikali.

English

others criticized the lack of transparency on procedures of government ministries.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ukatili na matumizi nguvu kupita kiasi yanayofanywa na polisi nchini tanzania.

English

police brutality in tanzania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makundi kadhaa yanatoa mifano wa mashambulizi ya kivita yanayofanywa na marekani na mahabusu ya guantanamo, cuba.

English

the groups also cite u.s. drone strikes and the detention center at guantanamo bay, cuba.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maeneo mengi ya kihistoria nchini syria yamekuwa yakilengwa katika mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo ambao mara nyingi huwa na silaha.

English

numerous archaeological sites in syria are being systematically targeted for clandestine excavations by well-organized and often armed groups.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika vyombo vya habari vya china, hatua hizi za kuweka mambo wazi huenda zitawasaidia raia kusimamia matumizi yanayofanywa na serikali yao.

English

according to sources in the chinese media, these transparency measures may help local citizens monitor the spending habits of their government.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufuatia kujitokeza watu wachache sana waliokadiriwa kuwa asilimia 50 tu mwaka 2011, tume ya uchaguzi na makundi ya asasi za kiraia yana wasiwasi kwamba katika uchaguzi wa mwaka huu watu wachache zaidi watajitokeza hasa baada ya kukatishwa tamaa na yanayofanywa na vyama vya siasa.

English

with a high abstention rate estimated at 50pc in 2011, the electoral commission and civil-society groups are concerned that this year's turnout rate will be lower in the face of a growing popular disappointment with political parties.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lengo la zapp ni kuwahusisha raia, watawala walio bungeni na serikalini, kwenye sekta za umma na zile binafsi katika kutengeneza muelekeo wa sera kwa pamoja na kuhakikisha maamuzi yanayofanywa katika ngazi zote yanaakisi matakwa ya watu wa zambia kuongozwa kwa mujibu wa kanuni za kidemokrasia.

English

the mission of zapp is to engage citizens, leaders in parliament and government, public and private sectors in jointly setting policy direction and ensuring decisions made at all levels reflect the will of the zambian people to be governed according to democratic tenets.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, wakati ambapo uchaguzi tanzania imeundwa ili kupokea taarifa zinazoingizwa upya kila baada ya saa moja kutoka kwa umma nchini tanzania, tzelect imeundwa ili kupokea mfululizo majadiliano ya uchambuzi kuhusu matukio ya uchaguzi, hasa yale yanayofanywa na vijana.

English

however, while uchaguzi tanzania is built to accomodate hour-to-hour updates from the general public on the ground in tanzania, tzelect is built to collect continuous, analytical discussions about these election events, specifically from youth.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@saddiqueshaban: ninatarajia kwa dhati baraza la habari @mediacouncilk linafuatilia kwa makini yanayofanywa na vyombo vya habari kipindi hiki wanaporipoti tukio hili #nairobiblast.

English

@saddiqueshaban: i sincerely hope @mediacouncilk is keenly watching the conduct of media houses as they report on the #nairobiblast.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

washiriki wa mazungumzo yetu hayo ya mtandaoni walikuwa ni pamoja na mwandishi wa gv syria, leila nachawati, mwanzilishi wa syria untold, mradi wa kupashana habari mtandaoni uliojikita kwenye mapinduzi ya amani yanayofanywa na wananchi wa syria; mhariri wetu wa runet echo kevin rothrock aliyezungumza kuhusu putin na mc cain opeds na namna wanavyotazamwa na mitandao ya urusi; amira al hussaini, mhariri wetu wa mashariki ya kati na afrika kaskazini, aliyegusia habari zilizikuwa zinaandikwa na vyombo vya habari vya kiraia na vyombo vikuu vya habari ndani ya mashariki ya kati na afrika kaskazini; solana larsen, mhariri mtendaji alizungumzia kuhusu wajibu wa vyombo vya habari vya kiraia katika taswira inayojengwa na vyombo vikuu vya habari kuhusu syria, ellery biddle mhariri wa utetezi aliyezungumza namna wito wa kuiomba marekani kuingilia kati mgogoro huo inavyotafsiriwa na raia wa marekani mtandaoni na ivan sigal mkurugenzi mtendaji aliyetoa maoni yake kuhusu namna habari za syria zinavyoumbwa kuwa vile zilivyo duniani kote.

English

our hangout participants included gv syria author, leila nachawati, founder of syria untold, an online storytelling project dedicated to the non-violent syrian uprising; our runet echo editor kevin rothrock who spoke about the putin and mc cain opeds and how they were perceived by the russian internet; amira al hussaini, our mena editor, touched on citizen media and mainstream media coverage of syria within the middle east and north africa; solana larsen, our managing editor spoke about the role of citizen media in mainstream portrayal of syria, ellery biddle our advocacy editor spoke about how the calls for us intervention are being interpreted by us netizens, and ivan sigal our executive director gave his opinion on why syrian coverage is being shaped the way it is around the world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,779,682,140 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK