From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
singapore: maoni ya waziri yasababisha tafrani mtandaoni
singapore: minister's comments spark internet meme · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
marekani: mauaji ya fort hood yasababisha kumulikwa kwa waislamu walio jeshini
usa: fort hood massacre puts spotlight on muslims in army · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zambia: magari mapya ya kifahari ya mtoto wa rais yasababisha minong’ono
zambia: president's son new luxury cars cause uproar · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vyanzo vingi vimeweka idadi ya waliofariki katika mamia: al-jazeera na bbc wote wameripoti vifo zaidi ya 500, japokuwa chanzo kimoja cha serikali kimetoa idadi rasmi ya vifo 55. mazishi ya haraka yasababisha ugumu katika kutathmini vizuri jumla ya waliofariki, wakati sababu za kisiasa pia zinapelekea kuwepo kwa makosa katika idadi.
many sources have placed the death toll in the hundreds: al-jazeera and the bbc both reported more than 500 casualties, although one government source put the figure at 55 official deaths. quick burials make it difficult to accurately assess the total dead, while political considerations also lead to discrepancies in the numbers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: