From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
naye akapaza sauti akisema, "yesu, mwana wa daudi, nihurumie!"
and he cried, saying, jesus, thou son of david, have mercy on me.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
yesu mwana wa mungu ameonekana yaounde, cameroon wakati wa wiki takatifu ya pasaka.
jesus the son of god appeared in yaounde, cameroon during holy week.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, tunapaswa kuzingatia kwa uthabiti imani tunayoiungama. maana tunaye kuhani mkuu aliyeingia mpaka kwa mungu mwenyewe--yesu, mwana wa mungu.
seeing then that we have a great high priest, that is passed into the heavens, jesus the son of god, let us hold fast our profession.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
akisema kwa sauti kubwa, "una shauri gani nami, wewe yesu mwana wa mungu aliye juu? kwa jina la mungu, nakusihi usinitese!"
and cried with a loud voice, and said, what have i to do with thee, jesus, thou son of the most high god? i adjure thee by god, that thou torment me not.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
alipomwona yesu, alipiga kelele na kujitupa chini mbele yake, na kusema kwa sauti kubwa "we, yesu mwana wa mungu aliye juu una shauri gani nami? ninakusihi usinitese!"
when he saw jesus, he cried out, and fell down before him, and with a loud voice said, what have i to do with thee, jesus, thou son of god most high? i beseech thee, torment me not.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
naye filipo akamkuta nathanieli, akamwambia, "tumemwona yule ambaye mose aliandika juu yake katika kitabu cha sheria, na ambaye manabii waliandika habari zake, yaani yesu mwana wa yosefu, kutoka nazareti."
philip findeth nathanael, and saith unto him, we have found him, of whom moses in the law, and the prophets, did write, jesus of nazareth, the son of joseph.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.