From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hapo zamani za kale
once upon a time
Last Update: 2022-12-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
zama za mawa za mwisho
the end times
Last Update: 2022-10-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
angola: hapo zamani za kale katika roque santeiro
angola: once upon a time in roque santeiro · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa nini tunaendelea kuzikumbatia lugha za kale ambazo hakuna anyetaka kuziongea tena?
why do we insist on romanticizing ancient languages that arguably noone wants to speak anymore?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lugha hiyo asili yake ni ki-galisia na kireno cha zama za kale, na ilikuwa ikizungumzwa katika jimbo lote la portucale
the language is originated from the galician-portuguese of medieval times, and it was spoken at all the county of portucale.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mohammed marhoon pia anauliza: je hatumo kwenye zama za mageuzi na uwazi?
mohammed marhoon also has a question: aren't we in the era of reform and transparency?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nguvu za ukandamizaji zinaweza kumaanisha serikali ya weupe katika zama za ubaguzi wa rangi na kwa hiyo zinaweza kumaanisha weupe wote.
forces of oppression would most probably refer to the white government in the apartheid era and thereby extend to all whites i suppose.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
henderson anakumbuka wimbo wa zamani kabisa una historia ndefu na kusema watafiti wamegundua nyimbo za aina hiyo kupitia fasihi za kale zinazofahamika.
henderson reckons the oldest lullaby is from well before the common era and says researchers have found lullabies in the oldest-known literature.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ninafikiri badala ya kukumbuka siku nzuri za kale twapaswa kukujitazama ndani yetu, sote wananchi na watawala na kujihoji namna gani tutaijenga kesho yenye nafuu.
i think instead of being nostalgic about the good old days we should really look inside ourselves, both the mwananchi and the leadership and interrogate how we can build a better tomorrow.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
global voices inaungana na mashirika mengine zaidi ya 60 yanayojihusisha na uhuru wa habari kuiunga mkono kampeni ya kamati ya kuwalinda waandishi kwa haki ya kutangaza katika zama za kidigitali , ikiulenga utawala wa obama.
global voices is joining more than 60 other media and press freedom organizations in supporting the committee to protect journalists’ campaign for the right to report in the digital age, targeting the obama administration.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mbele ya majengo ya serikali waandamanaji walikutana na msusuru wa polisi na msusuru wa sanamu za kale -kazi za sanaa za kihistoria- zilizowekwa pale tangu mwaka 2007.
in front of government buildings protesters were met by a police cordon and a cordon of ancient statues- real archeological artifacts - set there in 2007.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vingi, kuanzia lugha ya kila siku ya mawasiliano, kutaniana, mbinu na hata lugha za namna ya kuomba, hotuba za kwenye sherehe, au hata kusimuliana hadithi za kale.
so much, from the everyday language of instructions, telling jokes, or a recipe, to the ritual language of prayers, ceremonial speeches, or sharing stories of the ancestors.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
halafu fuaatilia na mapigo makali ya taarifa rasmi za kutangaza habari juu ya jinsi pembe-ya-kudu ulivyokuwa ikitumika zama za kale kupiga mbiu za kuitawanakijiji mkutanoni, vikundi vya wakristo vikidai kuwa hiyo ni sehemu ya ibada zao takatifu na tunaishia na mechi za soka ambazo zinaweza kuangaliwa kwenye televisheni pale tu sauti ikiwa imeminywa.
you then follow it up with a barrage of press releases about the kudu horn being used in ancient times to summon villagers to meetings, christian cults claiming it as part of their sacred rituals and we get stuck with football games that can only be watched on tv with the mute button firmly on.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
muinuko kumbukumbu za mzee juma katika kijiji cha mamboleo, aliishi mzee mmoja aitwaye juma. alikuwa na desturi ya kukutana na vijana wa kijiji kila jioni chini ya mti mkubwa wa mwembe, akiwapa nasaha na hadithi za kale. siku moja, aligundua kuwa vijana wengi walikuwa wamesahau mila na desturi za jamii yao, wakivutiwa zaidi na tamaduni za kigeni. mzee juma aliamua kuwakumbusha umuhimu wa asili yao. alisimulia hadithi ya kijana aliyesafiri kwenda mbali kutafuta hazina, lakini mwishowe aligundua kuwa hazina aliyotafuta ilikuwa nyumbani kwake, katika familia na utamaduni wake. vijana waliguswa na hadithi hiyo, wakitambua thamani ya mila zao na umuhimu wa kuzihifadhi. tangu siku hiyo, vijana wa mamboleo walianza kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijiji, wakijifunza na kuheshimu desturi zao. mzee juma alifurahia kuona kizazi kipya kikikumbuka na kuthamini urithi wao, akijua kuwa kumbukumbu za jamii yao zingeendelea kuishi kupitia wao. maadili: hadithi hii inatufundisha umuhimu wa kuthamini na kuhifadhi mila na desturi zetu, kwani ndizo zinazotutambulisha na kutupa utambulisho katika jamii.
elevated
Last Update: 2025-01-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: