From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
irani: redio zamaneh, redio ya mabloga
iran: radio zamaneh, a "radio for bloggers" · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
redio zamaneh inatokana na, na kuhamasishwa na kublogu.
radio zamaneh is derived from and inspired by blogging.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
redio zamaneh inalenga kuwa na mawasiliano ya njia mbili.
radio zamaneh aims for two-way communication.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
redio zamaneh ina uhusiano na mabloga katika njia nyingi.
radio zamaneh in many ways is connected to bloggers and blogging.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zamaneh ni neno linalomaanisha "wakati" katika lugha hiyo.
"zamaneh" is the persian literary term for "time".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
redio zamaneh ina historia madhubuti ya kuchapa maoni yanayotofautiana.
radio zamaneh has a solid record of publishing differing opinions.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wengi wa wachangiaji wa redio zamaneh walikuwa na bado ni mabloga.
most of radio zamaneh's contributors were, and still are, bloggers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
redio zamaneh haina nia ya kutangaza mabloga kulingana na mitazamo yao ya kisiasa.
radio zamaneh does not promote bloggers based on their political views.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
redio zamaneh ni redio ya lugha ya kipersia yenye makao yake huko mjini amsterdam.
radio zamaneh (persian: رادیو زمانه) is an amsterdam-based persian language radio.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunakaribisha ukosoaji wa redio zamaneh hata tukafika hatua ya kudhamini shindano la kuchambua tovuti yetu.
we invite criticism of radio zamaneh and even sponsored a competition with a review of the site as its focus.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mkurugenzi wetu, mehdi jami, alianza kublogu kwa miaka kadhaa kabla ya kujiunga na redio zamaneh.
our director, mehdi jami, started blogging several years before joining radio zamaneh.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kuwa sera ya habari ya redio zamaneh imejikita kewenye uandishi wa kiraia, kuwafikia mabloga ilikuwa ni jambo la wazi.
as radio zamaneh has based its media policy on citizen journalism, reaching out to bloggers is natural.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya kusema hivyo, tovuti ya redio zamaneh inajaribu kuziunga blogu zenye mahusiano na makundi ya kisiasa au makundi ya wale wenye siasa kali.
that said, radio zamaneh tries not to link to blogs with strong affiliations to political groups or extremists.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kuanzia mwezi wa agosti 2006, wakati redio zamaneh ilipoanzishwa, tumewahusisha na kuwatangaza mabloga katika tovuti yetu na katika programu za redio yetu.
since august 2006, when radio zamaneh started, we have actively promoted bloggers on our site and in our radio programs.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
redio zamaneh (rz) ni chombo huru cha utangazaji kilichosajiliwa kama asasi isiyo ya kiserikali huko uholanzi, kikiwa na studio na makao yake makuu mjini amsterdam.
radio zamaneh (rz) is an independent broadcasting organisation, registered as a non-profit organisation in the netherlands, with headquarters and a studio in amsterdam.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: