Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mkutano mkuu wa zanu-pf uliyeyusha matarajio hayo yote.
the zanu-pf congress quashed all those hopes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
haya yalitangazwa wakati wa kufunga mkutano mkuu wa 12 wa zanu pf mjini bulawayo jana.
this was announced at the close of the 12th zanu pf people’s congress in bulawayo yesterday.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anamshukuru mungu kwa kumpa maisha marefu kwa sababu anaweza sasa kutawala zaidi ##zanu pf congress in byo
he thanks god for living long because he can now rule longer##zanu pf congress in byo
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mkutano mkuu wa zanu pf umemteua #mugabe kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi utakaofanyika mwaka 2012 au mapema 2013 #zimbabwe
zanu pf congress endorses #mugabe as presidential candidate for elections to be held in 2012 or early 2013 #zimbabwe
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya mapumziko yasiyo ya kawaida, sasa kero ya kukatika-katika umeme imerudi tena jijini bulawayo utafikiri ni kulipiza… nina hakika watu wanatamani ule mkutano wa zanu pf ungeendelea.
after an uncharacteristic break, power cuts are back with a vengeance in bulawayo i bet some people wish the zanu pf conference was still on.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: