Results for zimejaa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.

English

"we went near the heavens but found it to be full of strong guards and shooting flames.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

bohari za dawa za uganda mara zote huwa zimejaa, lakini katika vituo vya afya hakuna dawa.

English

medical stores iin uganda are always full, but there are no drugs in the health centers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

simulizi nyingi zimejaa machungu ya moyoni yanayohusu jitihada za kuzoea nchi mpya, na simulizi nyingine ni za mafanikio.

English

many of the stories are filled with heartache about trying to adapt to a new land, and other stories are ones of success.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makoo yao ni kama kaburi wazi, ndimi zao zimejaa udanganyifu, midomoni mwao mwatoka maneno yenye sumu kama ya nyoka.

English

their throat is an open sepulchre; with their tongues they have used deceit; the poison of asps is under their lips:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuwa lengo la mkutano huu ni kwa ajili hasa ya waombaji wa zamani wa ufadhili, mwaliko ulitumwa awali kwa makundi hayo, na nafasi zote zimejaa.

English

since the focus of this meetup is primarily for past microgrant applicants, the invitation was initally sent to these groups, and all of the slots are filled.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa wanajua kuna mungu, lakini hawampi heshima anayostahili, wala hawamshukuru. badala yake, fikira zao zimekuwa batili na akili zao tupu zimejaa giza.

English

because that, when they knew god, they glorified him not as god, neither were thankful; but became vain in their imaginations, and their foolish heart was darkened.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,913,938,266 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK