Results for zinaendelea translation from Swahili to English

Swahili

Translate

zinaendelea

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

harakati zinaendelea....

English

the struggle continues...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa dalili zinaendelea, wasiliana na daktari

English

move to fresh air. keep patient warm and at rest. if symptoms persist, call a physician.

Last Update: 2023-06-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haikujalisha, harakati za kukabiliana na udhalilishaji huo zinaendelea.

English

nevertheless, initiatives to combat harassment continue.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchi zinaendelea kufadhili maendeleo ya silaha za hali ya juu.

English

countries continue financing the development of high-tech arms.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi sasa mechi zinaendelea kama zilivyopangwa huko kwenye jimbo la kabinda.

English

matches continue as scheduled in cabinda province.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blog zinaendelea kuwa ni sehemu muhimu lakini zinapoteza eneo kwa washiriki wapya.

English

blogs still remain a valuable place but are losing the ground to the newcomers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye mtandao wa twita miitikio ya tukio hilo pamoja na lawama zinaendelea kumiminika.

English

on twitter the reactions of anguish and accusations continue.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini takwimu zinaweza kuwa za juu kwa sababu maiti bado zinaendelea kuondolewa katika eneo hilo.

English

but the figures could be higher because dead bodies are still being retrieved in the region.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

stesheni za redio zinaogopa kufungiwa na kwa hiyo zinaendelea na program kama kawaida hakuna lolote linalotangazwa kuhusu ghasia

English

radio stations scared of being closed and thus normal programing nutin with riots z mentioned.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninahisi athari ya sera hii itakuwa kuongezeka kwa uandikishaji wa wanafunzi katika shule binafsi ambazo zinaendelea kufundisha kwa kiingereza.

English

i suspect one effect of this legislation will be an increase in enrollments in private schools that continue to offer tuition in english.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa hali imetulia baada ya kulaaniwa sana kila sehemu, bado ghasia hizo dhidi ya waislamu zinaendelea katika maeneo tofauti ya sri lanka.

English

although the situation has died down after widespread condemnation, sporadic violence against muslims continues in different parts of sri lanka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna dawa ya kinzavirusi iliyoidhinishwa ya covid-19, lakini juhudi ya kuzitengeneza zinaendelea, pamoja na kupima kwa dawa zilizopo.

English

there are no specific antiviral medications approved for covid-19, but development efforts are underway, including testing of existing medications.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zilikuwa ni habari mbaya za kutisha kiasi kwamba macho ya vyombo vya habari yalielekezwa eneo hilo kwa majuma kadhaa na mpaka leo habari zinazohusiana na ubakaji zinaendelea kushika kasi nchini india tangu wakati huo.

English

it was a story so horrific that it garnered world media attention for weeks and since then an increase in coverage of rapes in india is evident.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadri vurugu kali kati ya wanaharakati wa kiislamu na serikali zinaendelea kuongezamvutano wa kidini nchini bangladeshi, mamlaka ya mawasiliano ya bangladeshi inaweka juhudi za kuwanyamazisha wanablogu wakiwadhania kuwa wapo kinyume na uislamu au kinyume na serikali.

English

as deadly clashes between islamist activists and authorities continue to escalate religious tensions in bangladesh, the country's telecommunications authority is making moves to silence bloggers deemed anti-muslim or anti-state.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blog zinaendelea kuwa mfalme kwa kuwa na alama sita, facebook alama tatu, you tube alama mbili, friendfeed alama moja, twita ilipata sifuri, na hakuna ilipata alama moja.

English

blogs are still king with six points, facebook gets three points, you tube two points, friendfeed one, twitter got zero, and none gets one point.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

juhudi kubwa zinaendelea kwa sasa nchini china ikiwa ni pamoja na kufungwa kwa shughuli za kawaida mjini wuhan na miji iliyo karibu na kuendeleza karantini kwa karibu watu wote kwa matumaini ya kukatisha usambazaji wa sars-cov-2.

English

great efforts are currently underway in china including the lockdown of wuhan and surrounding cities and continuous quarantine of almost the entire population in hopes of interrupting the transmission of sars-cov-2.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alisema anga imekuwa kimya kwa muda wa saa moja na nusu hivi huko khan younis, lakini meli za kivita zilikuwa zinaendelea kushambulia sehemu za mwambao.sauti yake likuwa imara, kama vile ilivyokuwa wakati wowote kabla ya mauaji kuanza, na aliniambia nisihofu sana.

English

he said the sky had been quiet for about half an hour over khan younis, but the warships were attacking the shore. his voice was strong, just like it was when i'd talk to him at any time before the massacre began, and told me to not worry so much.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hadi machi2020, kulikuwa na chanjo moja ya mers (inayotegemea dna) iliyokamilisha majaribio ya awamu ya i ya kliniki kwa wanadamu, na zingine tatu zinaendelea, zote ambazo ni chanjo ya kuzuia virusi, virusi viwili ya dna (chadox1-mers, bvrs-gamvac), na mva-vectored (mva-mers-s).

English

as of march 2020, there was one (dna based) mers vaccine which completed phase i clinical trials in humans, and three others in progress, all of which are viral-vectored vaccines, two adenoviral-vectored (chadox1-mers, bvrs-gamvac), and one mva-vectored (mva-mers-s).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,597,632 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK