Results for zinazoweza translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

zinazoweza

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

tunataka kuepa lawama zinazoweza kutokea kuhusu usimamizi wetu juu ya zawadi hii karimu.

English

avoiding this, that no man should blame us in this abundance which is administered by us:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuna taarifa nyingi zinazoweza kumlevya mtu na ugonjwa wa kutojali, lakini siwezi kuwaambia yote hivi sasa.

English

there are many more facts to sober one drunk on apathy, but i can’t source or share them now.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zinaorodhesha pia udhibiti zinazofaa kukabiliana na hatari hizo, na mipango ya dharura kwa hali zinazoweza kutokea kufuatia mkurupuko.

English

they also outline controls necessary to address those risks, and contingency plans for situations that may arise as a result of outbreaks.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliisihi kampuni hiyo kuwatumia wataalamu wa ghana wanaopatikana na vile vile kuwakinga watu na changamoto zinazoweza kutokea kutokana na uchimbaji wa mafuta.

English

he urged the company to make use of available ghanaian expertise as well as insulate the people against any challenges that would emanate from the drilling of oil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa ushirikiano na serikali ya denmark na nyingine, tunazindua mfululizo wa tabaka na ziara ili kukusaidia kuvinjari athari zinazoweza kuipata sayari yetu na ufumbuzi wa namna ya kuzidhibiti athari hizo.

English

in collaboration with the danish government and others, we are launching a series of google earth layers and tours to allow you to explore the potential impacts of climate change on our planet and the solutions for managing it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"sababu za kiusalama" zinatajwa kuwa kigezo kilichosababisha kanuni mpya zinazoweza kuhitimisha matumizi ya huduma maarufu za skype, whatsapp, viber na tango nchini bahrain.

English

"security considerations" are being cited as reasons behind new regulations which could put an end to the use of popular services such as skype, whatsapp, viber and tango in bahrain.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kampeni hiyo inaunga mkono jitihada za serikali kwa kukuza uelewa wa watu kuhusu kujiandaa, kujilinda na namna ya kuchukua hatua maambukizi yakitokea kwa kutumia tovuti yao, video za mtandao wa you tube, facebook na namna nyinginezo zinazoweza kutumika kuwafikia watu nchini humu.

English

the campaign complements government's efforts by raising awareness about preparedness, prevention and response using their website, youtube videos, facebook and sensitization drives around the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lengo kuu la kimatibabu la kuosha mikono ni kusafisha mikono kutokana na virusi (bakteria, virusi, au viini vingine vianavyoweza kusababisha magonjwa) na kemikali zinazoweza kusababisha madhara au magonjwa.

English

the main medical purpose of washing hands is to cleanse the hands of pathogens (bacteria, viruses, or other microorganisms that can cause disease) and chemicals which can cause harm or diseases.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

amri hii haijakusudiwa, na haiundi haki au faida zozote, muhimu au za kiutaratibu, zinazoweza kutekelezwa kisheria au kwa usawa, dhidi ya jimbo la california, mawakala, idara, mashirika, maafisa, wafanyakazi wake, au mtu mwingine yeyote.

English

this order is not intended to, and does not, create any rights or benefits, substantive or procedural, enforceable at law or in equity, against the state of california, its agencies, departments, entities, officers, employees, or any other person.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,748,716,289 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK