From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
bei za shule zimeongezeka
class prices have increased
Last Update: 2023-11-28
Usage Frequency: 1
Quality:
wajibu wa kamati za shule
role of school committees
Last Update: 2024-06-19
Usage Frequency: 1
Quality:
"pia, wanavaa sare zao za shule."
"they're even wearing their school uniforms."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
x za kizungu video za shule kmfirana
x za kizungu video za shule
Last Update: 2021-11-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
waalimu wote wahimize wanafunzi kuvaa sare za shule pindi wawepo shuleni in english
wear school uniforms
Last Update: 2024-08-26
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
shughuli za shule kusimamishwa katika managua na león kutokana na tetemeko la ardhi..
schools activities suspended in managua and león due to the earthquake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika mtandao wa twita, watumiaji waliripoti tetemeko dogo na kusimamishwa kwa shughuli za shule:
in twitter, users reported aftersocks and suspension of school activities:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
huduma zingine za shule zitafunguliwa, lakini mafunzo imewekewa vikwazo na kufanywa kupitia njia za kimtandao.
other school services remain open, but teaching is restricted to distant learning.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
au mkuu wa shule ambaye ni padri, ambaye anafuja fedha za shule kwa kutumia hundi na mahesabu ya kughushi?
or a principal of a school,who is a priest, who embezzles school money through fake bills and accounting?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bwana yesu kristo awe vazi lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha.
but put ye on the lord jesus christ, and make not provision for the flesh, to fulfil the lusts thereof.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baadhi ya wilaya za shule zinaweza kutoa chaguo mbadala ya kutunza watoto, zikiwapa kipaumbele watoto wa wahudumu walio katika mstari wa mbele na wafanyakazi wa matibabu.
some school districts may offer alternative child care options, prioritising the children of first responders and healthcare workers.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nyie manaopiga kelele za kuutukuza ushoga, mkafie kuzimu. mtandelea kuzungumzia haki zenu za kijinga za binadamu wakati mkipumzika na ibilisi huko
you can talk about your bogus human rights while chilling with satan there. #antigaybill — wadd'a mutebi (@waddamutebi) february 24, 2014
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
news2dago anasimulia ni kwa namna gani alipoteza urafiki wa karibu aliokuwa na rafiki yake mmoja wa tangu enzi za shule. anaeleza kwamba uhusiano wao ulififia polepole mara tu baada ya rafiki yake kuondoka kwenda zake ufaransa:
news2dago narrates how a close friendship with an old friend from school slowly vanished because that friend left for france:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sababu yenyewe ni kwamba katika pitapita yangu niliangalia sanamu zenu za ibada nikakuta madhabahu moja ambayo imeandikwa: kwa ajili ya mungu yule asiyejulikana. basi, huyo mnayemwabudu bila kujua, ndiye ninayemhubiri kwenu.
for as i passed by, and beheld your devotions, i found an altar with this inscription, to the unknown god. whom therefore ye ignorantly worship, him declare i unto you.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jumapili ya tarehe 14 machi, raia wote wa ufaransa wakiwemo wale wa idara za ng’ambo za ufaransa (martinique, guadeloupe, french guiana na reunion) walitakiwa kupiga kura za majimbo na bunge la majimbo lenye madaraka katika majimbo hayo kama vile katika mipango ya mafunzo ya watu wazima, ujenzi na bajeti za shule za sekondari za umma, na kutoa fedha kwa miradi ya kukuza utamaduni.
on sunday march 14th, all french citizens including those in the four french overseas departments (martinique, guadeloupe, french guiana and reunion) were asked to vote for the regional elections and the regional assembly in charge of devolved powers such as planning adult professional training, building and funding public high schools, financing and promoting cultural projects.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: