Results for kuleta translation from Swahili to Esperanto

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Esperanto

Info

Swahili

kuleta

Esperanto

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Esperanto

Info

Swahili

heri wenye kuleta amani, maana wataitwa watoto wa mungu.

Esperanto

felicxaj estas la pacigantoj, cxar filoj de dio ili estos nomataj.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo tuyazingatie daima mambo yenye kuleta amani, na yanayotusaidia kujengana.

Esperanto

ni do celu tion, kio apartenas al paco kaj al reciproka edifo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nami nikafa. hiyo amri ambayo shabaha yake ilikuwa kuleta uhai, kwangu imeleta kifo.

Esperanto

kaj tiun ordonon, kiu estas por vivo, mi trovis por morto;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? hata kidogo; si amani bali utengano.

Esperanto

cxu vi supozas, ke mi alvenis, por doni pacon sur la tero? mi diras al vi:ne; sed pli vere disigon;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. sikuja kuleta amani bali upanga.

Esperanto

ne supozu, ke mi venis, por enkonduki pacon sur la teron; mi venis, por enkonduki ne pacon, sed glavon.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

matokeo ya mradi wa eshark nchini thailand utatumika kuleta ufahamu kwa kupungua kwa idadi ya papa nchini thailand.

Esperanto

la rezulto de tajlanda e-ŝarka projekto estos uzi por veki la konscion, ke la ŝarkoj jam malgrandigis en tajlando.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

atukuzwe mungu na baba wa bwana wetu yesu kristo, baba mwenye huruma na mungu mwenye kuleta faraja yote.

Esperanto

benata estu la dio kaj patro de nia sinjoro jesuo kristo, la patro de kompatoj kaj dio de cxia konsolo;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama vile dhambi ilivyotawala kwa kifo, kadhalika neema inatawala kwa njia ya uadilifu, na kuleta uzima wa milele kwa njia ya yesu kristo bwana wetu.

Esperanto

por ke tiel same, kiel la peko regxis en morto, la graco regxu per justeco gxis eterna vivo per jesuo kristo, nia sinjoro.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliiondoa ile sheria ya wayahudi pamoja na amri zake na kanuni zake, ili kutokana na jamii hizo mbili aumbe jamii moja mpya katika umoja naye na hivyo kuleta amani.

Esperanto

en sia karno neniiginte la malamon, la legxon de ordonoj en dekretoj; por krei en si el la du unu novan homon, tiel farante pacon;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mtu anataka kuleta ubishi juu ya jambo hili, basi, na ajue kwamba sisi hatuna desturi nyingine, wala makanisa ya mungu hayana desturi nyingine.

Esperanto

sed se iu sxajnas esti disputema, ni ne havas tian kutimon, nek la eklezioj de dio.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

helpage india, shirika lisilo la kiserikali ambalo hufanya kazi ya kuwasaidia na kuwajali wazee, linaeleza katika ukurasa wao utetezi namna vijana wanavyoweza kuleta tofauti:

Esperanto

neregistara organizaĵo helpage india laboras por prizorgi maljunulojn. Ĝi klarigas en sia opiniesprima paĝo, kiamaniere junuloj povas estigi ŝanĝon:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuwa na huzuni jinsi atakavyo mungu, husababisha badiliko la moyo, badiliko lenye kuleta wokovu; hivyo hakuna sababu ya kujuta. lakini huzuni ya kidunia huleta kifo.

Esperanto

cxar la malgxojo laux dio elfaras penton gxis savo, ne bedauxrindan; sed la malgxojo de la mondo elfaras morton.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa makelele yao yasiyo na adabu, watu hao ni kama madoa machafu katika mikutano yenu ya karamu ya bwana. hujipendelea wao wenyewe tu, na wako kama mawingu yanayopeperushwa huko na huko na upepo bila ya kuleta mvua. wao ni kama miti isiyozaa matunda hata wakati wa majira yake, wamekufa kabisa.

Esperanto

ili estas la subakvaj rokoj en viaj agapoj, kun vi kunfestenante, sentime sin pasxtante; nuboj senakvaj, per vento disportataj; auxtunaj arboj senfruktaj, dufoje mortintaj, elradikigitaj;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,800,289,393 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK