Results for ulimwengu translation from Swahili to Esperanto

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Esperanto

Info

Swahili

ulimwengu

Esperanto

universo

Last Update: 2014-06-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

wao si wa ulimwengu, kama vile nami nisivyo wa ulimwengu.

Esperanto

ili ne estas el la mondo, kiel mi ne estas el la mondo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

wakati ningali ulimwenguni, mimi ni mwanga wa ulimwengu."

Esperanto

dum mi estas en la mondo, mi estas la lumo de la mondo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, ndugu zangu, msishangae kama ulimwengu unawachukia ninyi.

Esperanto

ne miru, fratoj, se la mondo vin malamas.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kuhusu hukumu kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa.

Esperanto

rilate jugxon, cxar la estro de cxi tiu mondo estas jugxita.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hata kidogo! ingekuwa hivyo, mungu angewezaje kuuhukumu ulimwengu?

Esperanto

nepre ne! cxar kiel dio jugxus la mondon?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

je, kuna faida gani mtu kuupata ulimwengu wote na kuyapoteza maisha yake?

Esperanto

cxar kiel profitus homo, se li gajnus la tutan mondon kaj perdus sian animon?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

tunajua kwamba sisi ni wake mungu ingawa ulimwengu wote unatawaliwa na yule mwovu.

Esperanto

ni scias, ke ni el dio estas, kaj la tuta mondo kusxas en la malbonulo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hata hivyo haijalishi kwa kuwa sio sisi tu katika ulimwengu tusio na majina ya kifamilia.

Esperanto

Ĉiaokaze, ni ne estas solaj sur la tero sen familiaj nomoj.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mungu hakuwaweka malaika wautawale ulimwengu ujao, yaani ulimwengu ule tunaoongea habari zake.

Esperanto

cxar ne al angxeloj li submetis la estontan mondon, pri kiu ni paroladas.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

"ninyi ni mwanga wa ulimwengu! mji uliojengwa juu ya mlima hauwezi kufichika.

Esperanto

vi estas la lumo de la mondo. urbo starigita sur monto ne povas esti kasxita.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini tunapohukumiwa na bwana, tunafunzwa tuwe na nidhamu, ili tusije tukahukumiwa pamoja na ulimwengu.

Esperanto

sed kiam ni estas jugxataj, ni estas punataj de la sinjoro, por ke ni ne estu kondamnitaj kune kun la mondo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kisha ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonyesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,

Esperanto

denove la diablo portis lin al monto tre alta, kaj montris al li cxiujn regnojn de la mondo kaj ilian gloron,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu;

Esperanto

por ke la sango de cxiuj profetoj, kiu estis elversxita de post la komenco de la mondo, estu postulita el cxi tiu generacio,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

watu watazirai kwa sababu ya uoga, wakitazamia mambo yatakayoupata ulimwengu; kwa maana nguvu za mbingu zitatikiswa.

Esperanto

homoj malfortigxos de timo kaj de atendado de tio, kio venos sur la mondon; cxar la potencoj de la cxielo sxanceligxos.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lakini wasiwasi wa ulimwengu huu, anasa za mali na tamaa za kila namna huwaingia na kulisonga hilo neno, nao hawazai matunda.

Esperanto

sed la zorgoj de la mondo kaj la trompo de ricxo kaj la deziroj al aliaj aferoj, enirante, sufokas la vorton, kaj gxi farigxas senfrukta.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mtu hafanyi mambo kwa siri kama anataka kujulikana kwa watu. maadam unafanya mambo haya, basi, jidhihirishe kwa ulimwengu."

Esperanto

cxar neniu faras ion sekrete, kaj celas mem esti publike konata. se vi faras tiajn farojn, montru vin al la mondo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kabla ya kuumbwa ulimwengu, mungu alituteua tuwe wake katika kuungana na kristo ili tuwe watakatifu na bila hitilafu mbele yake. kwa sababu ya upendo wake,

Esperanto

kiel li elektis nin en li antaux la fondo de la mondo, por ke ni estu sanktaj kaj senmakulaj antaux li en amo;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi, mafarisayo wakaambiana, "mnaona? hatuwezi kufanya chochote! tazameni, ulimwengu wote unamfuata."

Esperanto

la fariseoj do diris inter si:vidu, kiel nenio prosperis al vi; jen la mondo eliris post li.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu. lakini yule aliyenituma ni kweli; nami nauambia ulimwengu mambo yale tu niliyoyasikia kutoka kwake."

Esperanto

mi havas multon por diri kaj jugxi pri vi; sed tiu, kiu min sendis, estas vera; kaj tion, kion mi auxdis de li, mi parolas al la mondo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,800,112,766 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK