Results for wakawauliza translation from Swahili to Esperanto

Swahili

Translate

wakawauliza

Translate

Esperanto

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Esperanto

Info

Swahili

mafarisayo wakawauliza, "je, nanyi pia mmedanganyika?

Esperanto

la fariseoj do respondis al ili:cxu vi ankaux estas erarigitaj?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza "kwa nini mnamfungua huyo mwana punda?"

Esperanto

kaj iuj apudstarantoj diris al ili:kion vi faras, malligante la azenidon?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadhi ya mafarisayo wakawauliza, "mbona mnafanya jambo ambalo si halali siku ya sabato?"

Esperanto

sed iuj el la fariseoj diris:kial vi faras tion, kion fari en sabato ne estas permesate?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

walipokuwa wanamfungua yule mwana punda, wenyewe wakawauliza, "kwa nini mnamfungua mwana punda huyu?"

Esperanto

kaj dum ili malligis la azenidon, gxiaj posedantoj diris al ili:kial vi malligas la azenidon?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha wale walinzi wakarudi kwa makuhani wakuu na mafarisayo; nao wakawauliza, "kwa nini hamkumleta?"

Esperanto

tiam la oficistoj revenis al la cxefpastroj kaj fariseoj, kaj cxi tiuj diris al ili:kial vi lin ne alkondukis?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

waliwasimamisha mitume mbele yao, wakawauliza, "ninyi mmefanya jambo hili kwa nguvu gani na kwa jina la nani?"

Esperanto

kaj stariginte ilin en la mezo, tiuj demandis:per kia potenco aux per kia nomo vi faris tion?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, watu waliposikia hayo, walichomwa moyo, wakawauliza petro na wale mitume wenzake: "ndugu zetu, tufanye nini?"

Esperanto

kaj auxdinte tion, ili estis pikitaj en la koro, kaj diris al petro kaj la aliaj apostoloj:kion ni faru, fratoj?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, wakawauliza hao wazazi, "je, huyu ndiye mtoto wenu ambaye ninyi mwasema alizaliwa kipofu? sasa amepataje kuona?"

Esperanto

kaj demandis ilin, dirante:cxu cxi tiu estas via filo, kiu, vi diras, naskigxis blinda? kiel do li nun vidas?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, baadhi ya walimu wa sheria ambao walikuwa mafarisayo walipomwona yesu akila pamoja na watu wenye dhambi na watoza ushuru, wakawauliza wanafunzi wake, "kwa nini anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?"

Esperanto

kaj la skribistoj kaj la fariseoj, vidante, ke li mangxas kun la pekuloj kaj la impostistoj, diris al liaj discxiploj:li mangxas kaj trinkas kun impostistoj kaj pekuloj.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,953,333,691 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK