Results for walinzi translation from Swahili to Esperanto

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Esperanto

Info

Swahili

walinzi wa lile kaburi wakatetemeka kwa hofu kubwa, hata wakawa kama wamekufa.

Esperanto

kaj pro timo al li la gardistoj tremis, kaj farigxis kiel malvivuloj.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kile kikosi cha askari, mkuu wake na walinzi wa wayahudi walimkamata yesu, wakamfunga

Esperanto

la kohorto kaj la milestro kaj la oficistoj de la judoj kaptis do jesuon kaj ligis lin,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yuda akaenda akajadiliana na makuhani wakuu na walinzi wa hekalu kuhusu atakavyomsaliti yesu kwao.

Esperanto

kaj li foriris kaj interparolis kun la cxefpastroj kaj kapitanoj, kiamaniere transdoni lin al ili.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walinzi wakawajibu, "hakuna mtu aliyepata kamwe kusema kama asemavyo mtu huyu!"

Esperanto

respondis la oficistoj:ankoraux neniam tiel parolis homo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

pilato akawaambia, "haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo."

Esperanto

pilato diris al ili:vi havas gardistaron; iru, kaj gardu gxin laux via eblo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wale walinzi wakazichukua zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. habari hiyo imeenea kati ya wayahudi mpaka leo.

Esperanto

kaj ili prenis la monon, kaj faris, kiel ili estis instruitaj; kaj tiu diro disvastigxis inter la judoj gxis hodiaux.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sijui kama mimi nilie kwa sababu ya mauaji yaliyofanywa na walinzi wa serikali au shauri ya rafiki zangu 11 walioko kizuizini

Esperanto

mi ne scias, ĉu mi kriu pro masakro farita de la respublika defendotrupo, aŭ pro miaj 11 amikoj arestitaj.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

petro alimfuata yesu kwa mbali, akaingia ndani ya ya wa kuhani mkuu, akaketi pamoja na walinzi akiota moto.

Esperanto

kaj petro malproksime sekvis lin gxis interne de la korto de la cxefpastro; kaj sidis kun la subuloj kaj sin varmigis apud la fajro.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watumishi na walinzi walikuwa wamewasha moto kwa sababu kulikuwa na baridi, wakawa wanaota moto. naye petro alikuwa amesimama pamoja nao akiota moto.

Esperanto

la sklavoj kaj la oficistoj, farinte karban fajron (cxar estis malvarme), staris kaj sin varmigis; petro ankaux estis kun ili, starante kaj sin varmigante.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, yuda alichukua kikosi cha askari na walinzi kutoka kwa makuhani wakuu na mafarisayo, akaja nao bustanini wakiwa na taa, mienge na silaha.

Esperanto

judas do, ricevinte la kohorton kaj oficistojn, senditajn de la cxefpastroj kaj fariseoj, venis tien kun lanternoj kaj torcxoj kaj bataliloj.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo mkuu wa walinzi wa hekalu pamoja na watu wake walikwenda hekaluni, akawaleta. lakini hawakuwakamata kwa kutumia nguvu, maana waliogopa kwamba watu wangewapiga mawe.

Esperanto

tiam foriris la kapitano kun la oficistoj, kaj alkondukis ilin sen perforto; cxar ili timis la popolon, por ke ili ne estu prijxetitaj per sxtonoj.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

usiku, kabla ya siku ile ambayo herode angemtoa petro hadharani, petro alikuwa amelala kati ya askari wawili. alikuwa amefungwa minyororo miwili, na walinzi walikuwa wanalinda lango la gereza.

Esperanto

kaj kiam herodo intencis elkonduki lin, en tiu sama nokto petro dormis inter du soldatoj, ligite per du katenoj; kaj gardistoj antaux la pordoj gardis la malliberejon.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha yesu akawaambia makuhani wakuu, wakubwa wa walinzi wa hekalu na wazee waliokuja kumkamata: "je, mmekuja na mapanga na marungu kunikamata kana kwamba mimi ni mnyang'anyi?

Esperanto

kaj jesuo diris al la cxefpastroj kaj kapitanoj de la templo kaj pliagxuloj, kiuj venis kontraux lin:cxu vi elvenis kun glavoj kaj bastonoj, kvazaux kontraux rabiston?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,934,704,778 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK