From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
maana siku zaja ambapo adui zako watakuzungushia maboma, watakuzingira na kukusonga pande zote.
sest päevad tulevad sinu peale, mil su vaenlased teevad sinu ümber valli ja piiravad sind ja vaevavad sind k
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati ulipokaribia ambapo yesu angechukuliwa juu mbinguni, yeye alikata shauri kwenda yerusalemu.
aga sündis, kui tema ülesv
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini wakati utafika ambapo bwana harusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.
aga päevi tuleb, mil peigmees neilt ära v
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
sisi tuliendelea na safari yetu kutoka tiro tukafika tolemai ambapo tuliwasalimu ndugu zetu, tukakaa nao siku moja.
tüürosest me sõitsime ptolemaisse ja lõpetasime seal oma laevasõidu; me teretasime vendi ja jäime nende juurde üheks päevaks.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, wakampeleka yesu kwa kuhani mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee na walimu wa sheria walikuwa wamekutanika.
ja nad viisid jeesuse ülempreestri juure, ja sinna tulid kokku k
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kukiwa bado mchana yatupasa kuendelea kufanya kazi za yule aliyenituma; maana usiku unakuja ambapo mtu hawezi kufanya kazi.
meie peame tegema selle tegusid, kes mind on läkitanud, niikaua kui päeva on; öö tuleb, mil ükski ei või midagi teha!
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
"mtakapoona mji wa yerusalemu umezungukwa na majeshi, ndipo mtambue ya kwamba wakati umefika ambapo mji huo utaharibiwa.
aga kui te näete jeruusalma olevat s
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
halafu akawaambia wanafunzi wake, "siku zinakuja ambapo mtatamani kuona mojawapo ya siku za mwana wa mtu, lakini hamtaiona.
ja ta ütles jüngritele: „päevad tulevad, mil te himustate näha üht inimese poja päevist, ja te ei näe mitte!
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"nimewaambieni mambo hayo kwa mafumbo. lakini wakati utakuja ambapo sitasema tena nanyi kwa mafumbo, bali nitawaambieni waziwazi juu ya baba.
seda ma olen teile rääkinud võrdumitega; aga tuleb aeg, mil ma teile enam ei räägi võrdumitega, vaid kuulutan isast teile avalikult.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini mama huyo akapewa mabawa mawili ya tai apate kuruka mbali sana na hilo joka, mpaka mahali, pake jangwani ambapo angehifadhiwa salama kwa muda wa miaka mitatu na nusu.
ja naisele anti kaks suure kotka tiiba, et ta lendaks kõrbe oma paika, kus teda toidetakse aeg ja ajad ja pool aega eemal mao palge eest.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
maana kristo hakuingia mahali patakatifu palipojengwa kwa mikono ya watu, ambapo ni mfano tu wa kile kilicho halisi. yeye aliingia mbinguni kwenyewe ambako sasa anasimama mbele ya mungu kwa ajili yetu.
sest kristus ei läinud kätega tehtud pühamusse kui tõelise püha paiga kujusse, vaid taevasse enesesse, et nüüd ilmuda jumala palge ette meie eest,
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
juu ya hilo sanduku kulikuwa na viumbe vilivyodhihirisha kuweko kwa mungu, na mabawa yao yalitanda juu ya mahali ambapo dhambi huondolewa. lakini sasa, hatuwezi kusema kinaganaga juu ya mambo hayo.
ent laeka peal olid auhiilguse keerubid, kes varjasid lepituskaant. sellest kõigest ei ole nüüd tarvis üksikasjalikult rääkida.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa muda wa siku nyingi tulisafiri polepole, na kwa shida tulifika karibu na nido. kwa sababu upepo ulikuwa bado unatupinga, tuliendelea mbele moja kwa moja tukapitia upande wa krete karibu na rasi salmone ambapo upepo haukuwa mwingi.
aga kui me mitu päeva olime vähehaaval edasi purjetanud ja vaevaga saanud kniidose kohale, ei lasknud tuul meid randa ja me purjetasime kreeta varju salmoone juures
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
huyo baba akakumbuka kwamba ilikuwa ni saa ileile ambapo yesu alimwambia: "mwanao yu mzima." basi, yeye akaamini pamoja na jamaa yake yote.
siis isa märkas, et see oli sündinud samal tunnil, mil jeesus talle ütles: „su poeg elab!” ja tema uskus, samuti kõik ta pere.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"lakini yule aliyekabidhiwa talanta moja akaja, akasema, bwana, najua wewe ni mtu mgumu; wewe huvuna pale ambapo hukupanda, na kukusanya pale ambapo hukutawanya.
siis astus esile ka see, kes oli saanud ühe talendi, a ütles: isand, ma teadsin, et sa oled kalk inimene. sa l
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ninyi watu wa mataifa mengine, kwa asili ni kama tawi la mzeituni mwitu, lakini mmeondolewa huko, mkapandikizwa katika mzeituni bustanini mahali ambapo kwa asili si penu. lakini, wayahudi kwa asili ni kama mzeituni bustanini, na itakuwa jambo rahisi zaidi kwao kupandikizwa tena katika mti huohuo wao.
sest kui sina loomulikust metsõlipuust oled ära lõigatud ja loomu vastu oled jätkatud väärisõlipuu külge, saati siis, et nemad kui loodud oksad, jätkatakse iseeneste õlipuu külge.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: