Results for lolote translation from Swahili to Estonian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Estonian

Info

Swahili

hapo mama yake akawaambia watumishi, "lolote atakalowaambieni, fanyeni."

Estonian

tema ema ütles teenijaile: „mis tema teile iganes ütleb, seda tehke!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mapendo yenu na yawe bila unafiki wowote. chukieni jambo lolote ovu, zingatieni jema.

Estonian

armastus ärgu olgu silmakirjalik. hoiduge kurjast eemale, kiinduge heasse!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawakufaulu kumnasa kwa neno lolote pale mbele ya watu na hivyo wakakaa kimya wakilistaajabia jibu lake.

Estonian

ja nad ei saanud teda kinni v

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dhamiri yangu hainishtaki kwa jambo lolote, lakini hiyo haionyeshi kwamba sina lawama. bwana ndiye anayenihukumu.

Estonian

sest mina ei tea enesel ühtki süüd olevat; aga sellega ei ole ma veel

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uunganishi utaulizia uthibitisho kabla ya upishanaji mpya wa nafasi kwa faili lolote katika folida lenye mzozozano na mafaili yanayonakiliwa.

Estonian

liitmise korral küsitakse kinnitust enne konfliktsete failide asendamist kaustas kopeeritavatega.

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, habari tuliyoisikia kwake yesu na tunayowahubirieni ndiyo hii: mungu ni mwanga na hamna giza lolote ndani yake.

Estonian

ja see on kuulutus, mille me oleme kuulnud temalt ja kuulutame teile, et jumal on valgus ja temas ei ole mingit pimedust.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tena nawaambieni, wawili miongoni mwenu wakikubaliana hapa duniani kuhusu jambo lolote la kuomba, baba yangu wa mbinguni atawafanyia jambo hilo.

Estonian

taas ütlen ma tõesti teile, et kui kaks teie seast ühel nõul on maa peal mingi asja pärast, mida nad iganes paluvad, siis see saab neile minu isalt, kes on taevas.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana sheria ya mose haikuweza kukamilisha jambo lolote. lakini sasa, mahali pake pamewekwa tumaini lililo bora zaidi ambalo kwalo tunaweza kumkaribia mungu.

Estonian

ei ole ju käsk midagi viinud täiuslikkusele - ent asemele seatakse parem lootus, mille kaudu me tuleme jumala ligi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala si mimi tu, bali hata herode hakuona kosa lolote, kwa maana amemrudisha kwangu. ni dhahiri kwamba mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya kifo.

Estonian

ega heroodeski, vaid ta on tema saatnud tagasi meie juure. ja vaata, tema pole teinud midagi, mis oleks surma väärt!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

najua kwamba hamna jema lolote ndani yangu mimi, kadiri ya ubinadamu wangu. kwa maana, ingawa nataka kufanya jambo jema, siwezi kulitekeleza.

Estonian

sest ma tean, et minus, see on minu lihas, ei ela head. tahet mul on, aga head teha ma ei suuda;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kujitetea, paulo alisema, "mimi sikufanya kosa lolote kuhusu sheria ya wayahudi, wala kuhusu hekalu, wala kumhusu kaisari."

Estonian

sest paulus kaitses ennast, öeldes: „ei ma ole kuidagi viisi eksinud ei juutide käsu ega pühakoja vastu ega keisri vastu!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wale watu walikuwa wakitazamia kwamba angevimba au hapohapo angeanguka chini na kufa. baada ya kungojea kwa muda mrefu bila kuona kwamba paulo amepatwa na jambo lolote lisilo la kawaida, walibadilisha fikira zao juu yake, wakasema kuwa ni mungu.

Estonian

nad ootasid küll, et ta üles paistetab või äkitselt surnuna maha langeb. aga kui nad olid kaua oodanud ja nägid, et talle ei sündinud mingit viga, mõtlesid nad teisiti ja ütlesid tema jumala olevat.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi. akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote. alipoufikia, aliukuta bila tunda lolote ila majani matupu, kwa vile hayakuwa majira ya mtini kuzaa matunda.

Estonian

ja nähes kaugelt viigipuud lehis, läks ta vaatama, kas ta sellelt midagi leiab. aga sinna juure j

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,945,685,365 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK