Results for mashaka translation from Swahili to Estonian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Estonian

Info

Swahili

mashaka

Estonian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Estonian

Info

Swahili

heri mtu yule asiyekuwa na mashaka nami."

Estonian

ja õnnis on, kes iganes minust ei pahandu!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

muwe na huruma kwa watu walio na mashaka;

Estonian

ja halastage teiste peale, kes kahtlevad,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipomwona, wakamwabudu, ingawa wengine walikuwa na mashaka.

Estonian

ja kui nad teda nägid, kummardasid nad teda. aga m

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna mashaka hata kidogo kwamba anayebariki ni mkuu zaidi kuliko yule anayebarikiwa.

Estonian

ent vasturääkimata on selge, et alam saab õnnistuse ülemalt.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

petro akamwambia "hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakukana kamwe!"

Estonian

siis peetrus ütleb temale: „kui ka k

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

abrahamu hakuionea mashaka ile ahadi ya mungu; alipata nguvu kutokana na imani, akamtukuza mungu.

Estonian

ent jumala tõotusest ta ei mõtelnud uskmatuses kaksipidi, vaid sai vägevaks usus, andes jumalale austust

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini anapaswa kuomba kwa imani bila mashaka yoyote. mtu aliye na mashaka ni kama mawimbi ya bahari ambayo husukumwa na kutupwatupwa na upepo.

Estonian

ent ta palugu usus, ilma kahtlemata; sest kes kahtleb, sarnaneks merelainele, mida tuul tõstab ning sinna ja tänna peksab.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wewe mfalme unayafahamu mambo haya, kwa hiyo ninaweza kuongea bila uoga mbele yako. sina mashaka kwamba matukio hayo yanajulikana kwako maana jambo hili halikutendeka mafichoni.

Estonian

sest kuningas teab neid asju küll ja temale mina räägin ka julgesti, sest ma ei arva midagi temale teadmata olevat neist asjust; ei ole ju need nurgas sündinud.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakawa na mashaka naye. lakini yesu akawaambia, "nabii hakosi kuheshimiwa, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani mwake!"

Estonian

ja nad pahandusid temast. aga jeesus ütles neile: „ei peeta prohvetist kuskil nii vähe lugu kui kodukohas ja ta omas majas!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

karibu na alfajiri, paulo aliwahimiza wote wale chakula: "kwa siku kumi na nne sasa mmekuwa katika mashaka na bila kula; hamjala kitu chochote.

Estonian

aga seni kui valgeks läks, manitses paulus neid kõiki leiba võtta ja ütles: „täna on neljateistkümnes päev, kui te ootate ja olete söömata ega ole midagi suhu võtnud.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, wayahudi wakamzunguka, wakamwuliza, "utatuacha katika mashaka mpaka lini? kama wewe ndiye kristo, basi, tuambie wazi."

Estonian

siis juudid asusid ta ümber ja ütlesid temale: „kaua sa pead meie hinge kahevahel? oled sa kristus, siis ütle meile seda lausa!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hakuna mashaka yoyote juu ya ukuu wa siri ya dini yetu: alionekana katika umbo la kibinadamu alithibitishwa na roho kuwa ni mwadilifu, akaonekana na malaika. alihubiriwa kati ya mataifa, aliaminiwa popote ulimwenguni, akachukuliwa juu mbinguni katika utukufu.

Estonian

ja vastuvaieldamatu suur on jumalakartuse saladus: jumal on avalikuks saanud lihas, õigeks mõistetud vaimus, ilmunud inglitele, kuulutatud paganate seas, usutud maailmas, üles võetud ausse!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,028,988,998 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK