From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwani sasa tunaishi kweli ikiwa ninyi mnasimama imara katika kuungana na bwana.
sest et nüüd me elame, kui teie püsite kindlasti issandas.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mmefika kwenye kusanyiko kubwa la wazaliwa wa kwanza wa mungu, ambao majina yao yameandikwa mbinguni. mnasimama mbele ya mungu aliye hakimu wa wote, na mbele ya roho za watu waadilifu waliofanywa kuwa wakamilifu.
ja esmasündinute piduliku kogu ning koguduse juurde, kes on kirja pandud taevasse, ja jumala, kõikide kohtumõistja juurde, ja õigete vaimude juurde, kes on saanud täiuslikeks,
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wakasema, "enyi wananchi wa galilaya! mbona mnasimama mkitazama angani? yesu huyu ambaye amechukuliwa kutoka kwenu kwenda mbinguni atakuja tena namna hiyohiyo mliivyomwona akienda mbinguni."
ja need ütlesid: „galilea mehed, miks te seisate ja vaatate üles taeva poole? see jeesus, kes teilt üles võeti taevasse, tuleb samal kombel kui te nägite teda taevasse minevat!”
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting