Results for mwalimu translation from Swahili to Estonian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Estonian

Info

Swahili

wakapaza sauti wakisema, "yesu mwalimu, tuonee huruma!"

Estonian

ja nad t

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwenye kufundishwa neno la mungu na amshirikishe mwalimu wake riziki zake.

Estonian

aga keda õpetatakse sõnaga, see jagagu kõike head sellele, kes teda õpetab.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu mmoja akamwuliza, "je, mwalimu, watu watakaookoka ni wachache?"

Estonian

siis küsis keegi temalt: „issand, kas on pisut neid, kes saavad

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hupenda kusalimiwa kwa heshima sokoni na kupendelea kuitwa na watu: mwalimu.

Estonian

ja teretusi turgudel ja et inimesed neid kutsuksid „rabi!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu amenichagua mimi niwe mtume na mwalimu kwa ajili ya kuhubiri habari njema,

Estonian

milleks mina olen seatud kuulutajaks ja apostliks ja õpetajaks.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, yuda akamkaribia yesu, akamwambia, "shikamoo, mwalimu!" kisha akambusu.

Estonian

ja kohe ta astus jeesuse juure ja ütles: „tere, rabi!” ja andis temale suud.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mtumishi wa bwana asigombane. anapaswa kuwa mpole kwa watu wote, mwalimu mwema na mvumilivu,

Estonian

ent issanda sulane ärgu tülitsegu, vaid olgu lahke kõikide vastu, osav õpetama, valmis kannatama kurja,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao watoza ushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, "mwalimu, tufanye nini?"

Estonian

ent ka tölnereid tuli endid laskma ristida, ja need ütlesid temale: „

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yuda alipofika tu, alimwendea yesu moja kwa moja, akasema, "mwalimu!" kisha akambusu.

Estonian

ja kui ta sinna tuli, astus ta kohe tema juure ja ütles: „rabi!” ja andis temale suud.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mmoja wa walimu wa sheria akamwambia, "mwalimu, maneno yako yanatukashifu na sisi pia."

Estonian

aga üks käsutundjaist kostis ja ütles temale: „

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

unajiona kuwa mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa wale wasiokomaa bado. unayo katika sheria picha kamili ya elimu na ukweli.

Estonian

mõistmatute juhatajaks, alaealiste õpetajaks, kellel on käes täieks kujunenud tunnetus ja tõde käsuõpetuses;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu mmoja alimjia yesu, akamwuliza, "mwalimu, nifanye kitu gani chema ili niupate uzima wa milele?"

Estonian

ja vaata, üks mees astus tema juure ja ütles temale: „Õpetaja, mis head ma pean tegema, et saaksin igavese elu?”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadaye mwalimu mmoja wa sheria alisimama akamwuliza akitaka kumtega, "mwalimu, nifanye nini ili nipate uzima wa milele?"

Estonian

ja vaata, keegi käsutundja astus esile, kiusas teda ja ütles: „

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kiongozi mmoja, myahudi, alimwuliza yesu, "mwalimu mwema, nifanye nini ili niweze kuupata uzima wa milele?"

Estonian

ja üks ülem küsis temalt ning ütles: „hea

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu alipokuwa anatoka hekaluni, mmoja wa wanafunzi wake alimwambia, "mwalimu, tazama jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo ya ajabu!"

Estonian

ja kui tema pühakojast väljus, ütles üks tema jüngreist temale: „

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. ikiwa wamemwita mkubwa wa jamaa beelzebuli, je hawatawaita watu wengine wa jamaa hiyo majina mabaya zaidi?

Estonian

jünger olgu rahul sellega, et tema käsi käib nagu ta õpetajal ja orjal nagu ta isandal. kui nad pereisandat on hüüdnud peeltsebuliks, kui palju enam tema peret!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakamwambia, "mwalimu, mose alisema mtu aliyeoa akifa bila kuacha watoto, lazima ndugu yake amwoe huyo mama mjane, amzalie ndugu yake watoto.

Estonian

„Õpetaja, mooses on ütelnud: kui keegi sureb lasteta, peab ta vend abielluma ta naisega ja soetama oma vennale järglase.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

naye akawaambia, "hivyo basi, kila mwalimu wa sheria aliye mwanafunzi wa ufalme wa mbinguni anafanana na mwenye nyumba atoaye katika hazina yake vitu vipya na vya kale."

Estonian

siis ta ütles neile: „seepärast on iga kirjatundja, kes on õpetatud taevariigi jaoks, majaisandmehe sarnane, kes toob esile oma tagavarast uut ja vana!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yu wapi basi, mwenye hekima? yu wapi basi, mwalimu wa sheria? naye bingwa wa mabishano wa nyakati hizi yuko wapi? mungu ameifanya hekima ya ulimwengu kuwa upumbavu.

Estonian

kus on targad? kus kirjatundjad? kus selle ajastu arutlejad? eks jumal ole selle maailma tarkuse teinud j

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akasema, "ni nani aliyenigusa?" wote wakasema kwamba hapakuwa na mtu aliyemgusa. naye petro akasema, "mwalimu, umati wa watu umekuzunguka na kukusonga!"

Estonian

ja jeesus ütles: „kes puudutas mind?” aga kui k

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,718,729,235 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK