Results for mwanangu translation from Swahili to Estonian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Estonian

Info

Swahili

mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: watamheshimu mwanangu.

Estonian

viimaks ta läkitas oma poja nende juure, mõteldes: küllap nad mu poega häbenevad.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeyote atakayeshinda atapokea hiki, nami nitakuwa mungu wake, naye atakuwa mwanangu.

Estonian

kes võidab, see pärib selle, ja mina olen temale jumalaks ja tema on minule pojaks.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama ilivyoandikwa katika zaburi ya pili: wewe ni mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.

Estonian

et jumal selle on täitnud meile, nende lastele, äratades üles jeesuse, nagu ka teises laulus on kirjutatud: „sina oled mu poeg, täna ma sünnitasin sind!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wewe mwanangu, uwe na nguvu katika neema tunayopata katika kuungana na kristo yesu.

Estonian

saa siis vahvaks, mu poeg, armus, mis on kristuses jeesuses!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sauti kutoka mbinguni ikasema, "huyu ndiye mwanangu mpendwa, nimependezwa naye."

Estonian

ja vaata, taevast kostis hääl, mis ütles: „seesinane on minu armas poeg, kellest mul on hea meel!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baba yake akamjibu: mwanangu, wewe uko pamoja nami siku zote, na kila nilicho nacho ni chako.

Estonian

tema ütles temale: laps, sina oled ikka minu juures ja k

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alipoona imani yao, akamwambia huyo mtu aliyepooza, "mwanangu, umesamehewa dhambi zako."

Estonian

kui jeesus nende usku nägi, ütles ta halvatule: „poeg, su patud antakse andeks!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yule mwenye shamba akafikiri: nitafanya nini? nitamtuma mwanangu mpenzi; labda watamjali yeye.

Estonian

siis ütles viinamäe isand: mis ma pean tegema? ma läkitan oma armsa poja, vahest nad häbenevad teda!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu huyu mwanangu alikuwa amekufa, kumbe yu mzima alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana. wakaanza kufanya sherehe.

Estonian

sest see mu poeg oli surnud ja on ellu virgunud, ta oli kadunud ja on leitud! ja nemad hakkasid r

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nakuandikia timotheo mwanangu halisi katika imani. nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa mungu baba yetu na kristo yesu bwana wetu.

Estonian

timoteosele, oma tõelisele pojale usus. armu, halastust, rahu jumalalt isalt ja kristuselt jeesuselt, meie issandalt!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanangu timotheo, nakukabidhi amri hii kufuatana na maneno ya unabii yaliyosemwa zamani juu yako. yatumie maneno hayo yawe silaha yako katika kupigana vita vizuri,

Estonian

selle käsu ma panen su südamele, mu poeg timoteos, vastavalt varemaile sinu kohta käivaile ennustustele, et sa nende varal võitleksid õilsat võitlust,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninakuandikia wewe tito, mwanangu wa kweli katika imani tunayoshiriki. nakutakia neema na amani kutoka kwa mungu baba, na kutoka kwa kristo yesu, mkombozi wetu.

Estonian

tiitusele, tõelisele pojale meie ühise usu poolest: armu ja rahu jumalalt isalt ja issandalt kristuselt jeesuselt, meie Õnnistegijalt!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, mmesahau yale maneno ya kutia moyo ambayo mungu anawataja ninyi kuwa wanawe? "mwanangu, usidharau adhabu ya bwana, wala usife moyo anapokukanya.

Estonian

ja olete unustanud manitsuse, mis teile otsekui lastele ütleb: „mu poeg, ära põlga issanda karistust ja ära saa araks, kui tema sind noomib!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hapo, mtu mmoja katika lile kundi akapaaza sauti, akasema, "mwalimu! ninakusihi umwangalie mwanangu--mwanangu wa pekee!

Estonian

ja vaata, üks mees rahvahulga seast kisendas ning ütles: „

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wazazi wake walipomwona walishangaa. maria, mama yake, akamwuliza, "mwanangu, kwa nini umetutenda hivyo? baba yako na mimi tumekuwa tukikutafuta kwa huzuni."

Estonian

ja teda nähes ehmusid tema vanemad väga, ja ta ema ütles temale: „poeg, miks sa oled meile n

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,910,173,490 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK