Results for tunajua translation from Swahili to Estonian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Estonian

Info

Swahili

tunajua kwamba sisi ni wake mungu ingawa ulimwengu wote unatawaliwa na yule mwovu.

Estonian

me teame, et oleme jumalast ja kõik maailm on tigeda võimuses.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunajua kwamba hukumu ya mungu kwa wale wanaofanya mambo kama hayo ni hukumu ya haki.

Estonian

aga me teame, et jumala kohus tõepoolest tabab neid, kes sellesarnast teevad.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi tunajua kwamba mungu alisema na mose, lakini mtu huyu hatujui ametoka wapi!"

Estonian

me teame, et jumal on rääkinud moosesega, aga kust see inimene on, seda me ei tea!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kristo atakapokuja hakuna mtu atakayejua mahali alikotoka, lakini sisi tunajua alikotoka mtu huyu!"

Estonian

ometi me teame, kust ta on. aga kui kristus tuleb, siis ei tea ükski, kust ta on!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana, tunajua kwamba kristo amekwisha fufuliwa kutoka wafu na hafi tena; kifo hakimtawali tena.

Estonian

sest me teame, et kristus pärast seda, kui ta surnuist üles äratati, enam ei sure; surm ei valitse enam tema üle.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana tunajua kwamba mpaka hivi sasa, viumbe vyote vinalia kwa maumivu kama ya kujifungua mtoto.

Estonian

sest me teame, et kõik loodu ühtlasi ägab ja on aina sünnitusvaevas tänini;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunajua kwamba mungu hawasikilizi watu wenye dhambi, ila humsikiliza yeyote mwenye kumcha na kutimiza mapenzi yake.

Estonian

me ju teame, et jumal ei kuule patuseid, vaid kui keegi on jumalakartlik ja teeb tema tahtmist, siis seda ta kuuleb.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja na kristo, ili hali ya dhambi iharibiwe, tusiwe tena watumwa wa dhambi.

Estonian

kuna me seda teame, et meie vana inimene on ühes temaga risti löödud, et patuihu kaotataks, nõnda et me enam ei orjaks pattu;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye hutusikiliza kila tunapomwomba; na kwa vile tunajua kwamba yeye hutusikiliza kila tunapomwomba, twajua pia kwamba atupatia yote tunayomwomba.

Estonian

ja kui me teame, et ta meid kuuleb kõiges, mida me palume, siis me ka teame, et meil on käes need palved, mis me temalt oleme palunud.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana mpaka sasa mmenielewa kiasi fulani tu. tunajua kwamba katika ile siku ya bwana yesu mtaweza kutuonea sisi fahari kama nasi tunavyowaonea ninyi fahari.

Estonian

n

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunajua kwamba sheria huwahusu walio chini ya sheria hiyo, hata hawawezi kuwa na kisingizio chochote, na ulimwengu wote uko chini ya hukumu ya mungu.

Estonian

aga me teame, et mida iganes käsk ütleb, seda ta ütleb neile, kes on käsu all, et iga suu suletaks ja kogu maailm oleks süüalune jumala ees;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini, ingawa twasema namna hii, wapenzi wetu, tunalo tumaini kubwa juu ya hali yenu. tunajua kwamba mmepokea baraka zile bora za wokovu wenu.

Estonian

aga, armsad, teie suhtes me usume seda, mis on parem ja soodus õndsusele, kuigi me räägime nõnda.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa tunajua kwamba wewe unajua kila kitu, na huna haja ya kuulizwa maswali na mtu yeyote; kwa hiyo tunaamini kwamba umetoka kwa mungu."

Estonian

nüüd me teame, et sa tead kõik ja et sul ei ole vaja, et keegi sinult küsib. sellest me usume, et sa oled lähtunud jumala juurest!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wapenzi wangu, sisi ni watoto wa mungu sasa, lakini bado haijaonekana wazi jinsi tutakavyokuwa. lakini tunajua kwamba wakati kristo atakapotokea, tutafanana naye kwani tutamwona vile alivyo.

Estonian

armsad, me oleme nüüd jumala lapsed ega ole veel saanud avalikuks, mis me tulevikus oleme; aga me teame, et me tema ilmudes oleme tema sarnased, sest me näeme siis teda nagu tema on.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunajua vilevile kwamba kufuatana na sheria, wana wa lawi ambao ni makuhani, wanayo haki ya kuchukua sehemu ya kumi kutoka kwa watu, yaani ndugu zao, ingawaje nao ni watoto wa abrahamu.

Estonian

on ju neil leevi poegadelgi, kes saavad preestriameti, käsk võtta kümnist käsuõpetuse järgi rahva, see on oma vendade käest, ehk küll nemadki on lähtunud aabrahami niudeist.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, sisi tunajua na tunaamini upendo alio nao mungu kwetu sisi. mungu ni upendo, na kila mtu aishiye katika upendo, anaishi katika muungano na mungu, na mungu anaishi katika muungano naye.

Estonian

ja me oleme tundma õppinud ja uskunud armastust, mis jumalal on meie vastu. jumal on armastus, ja kes jääb armastusse, see jääb jumalasse ning jumal jääb temasse.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana tunajua kwamba hema hii ambayo ndani yake tunaishi sasa hapa duniani, yaani mwili wetu, itakapong'olewa, mungu atatupa makao mengine mbinguni, nyumba ya milele isiyotengenezwa kwa mikono.

Estonian

sest me teame, et kui meie maine telkhoone maha kistakse, on meil elamu jumala käest, mitte kätega tehtud igavene hoone taevas.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku moja alimwendea yesu usiku, akamwambia, "rabi, tunajua kwamba wewe ni mwalimu uliyetumwa na mungu, maana hakuna mtu awezaye kufanya ishara unazozifanya mungu asipokuwa pamoja naye."

Estonian

see tuli jeesuse juure öösel ja ütles temale: „rabi, me teame, et sa jumalalt oled tulnud õpetajaks; sest keegi ei või teha neid imetähti, mida sina teed, kui jumal ei ole temaga!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,925,085,600 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK