Results for kibali translation from Swahili to Finnish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Finnish

Info

Swahili

maana wazee wa kale walipata kibali cha mungu kwa sababu ya imani yao.

Finnish

sillä sen kautta saivat vanhat todistuksen.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatua za kisheria zitachukuliwa ama kutozwa faini iwapo mtu yeyote atapatikana na hizo bidhaa bila ya kibali ama idhini.

Finnish

jos lihaa ja maitoa ja maitopohjaisia tuotteita ei ilmoiteta tullattavaksi, henkilöä voidaan sakottaa tai hänet voidaan asettaa syytteeseen.

Last Update: 2014-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jitahidi kupata kibali kamili mbele ya mungu kama mfanyakazi ambaye haoni haya juu ya kazi yake, na ambaye hufundisha sawa ule ujumbe wa kweli.

Finnish

pyri osoittautumaan jumalalle semmoiseksi, joka koetukset kestää, työntekijäksi, joka ei työtään häpeä, joka oikein jakelee totuuden sanaa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini sitafanya chochote bila kibali chako. sipendi kukulazimisha unisaidie, kwani wema wako unapaswa kutokana na hiari yako wewe mwenyewe na si kwa kulazimika.

Finnish

mutta ilman sinun suostumustasi en tahtonut tehdä mitään, ettei hyvyytesi olisi ikäänkuin pakollinen, vaan vapaaehtoinen.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa nataka kibali cha nani: cha binadamu, ama cha mungu? au je, nataka kuwapendeza watu? kama ningefanya hivyo, mimi singekuwa kamwe mtumishi wa kristo.

Finnish

ihmistenkö suosiota minä nyt etsin vai jumalan? tai ihmisillekö pyydän olla mieliksi? jos minä vielä tahtoisin olla ihmisille mieliksi, en olisi kristuksen palvelija.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kumwondoa saulo, mungu alimteua daudi kuwa mfalme wao. mungu alionyesha kibali chake kwake akisema: nimemwona daudi mtoto wa yese; ni mtu anayepatana na moyo wangu; mtu ambaye atatimiza yale yote ninayotaka kuyatenda.

Finnish

mutta hän pani hänet viralta ja herätti heille kuninkaaksi daavidin, josta hän myös todisti ja sanoi: `minä olen löytänyt daavidin, iisain pojan, sydämeni mukaisen miehen, joka on tekevä kaikessa minun tahtoni`.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,944,443,152 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK