From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
al joresh ni mkosoaji mkubwa dhidi ya wizara ya mambo ya ndani ya saudi kwa kuwekwa watu kiholela kizuizini.
mme al joresh critiquait sans ambages les détentions arbitraires pratiquées par le ministère saoudien de l'intérieur.
chombo cha habari cha al jazeera ndicho cha pekee kilichokubalika kama chombo cha kikuu cha habari cha kimataifa kilicho onyesha kiwango cha mgomo wa kutokula.
the stream, l'émission d'al jazeera, a été le seul grand média international à insister sur la gravité de la grève de la faim.
abdullah al-hamed na wafanyakazi wenzake katika shirika la acpra wanatumia siku ya maadhimisho ya uhuru wa saudia wakiwa gerezani.
abdullah al-hamed et ses collègues du acpra (association saoudienne pour les droits civiques et politiques) passent leur fête nationale en prison.
jiji hili linatumiwa na wanajeshi wa kenya kama ngome ya oparesheni dhidi ya wanamgambo wa al-qaida huko u-somali.
la ville est une garnison de l'armée kenyane d'ou elle lance ses opérations contre les insurgés de somalie liés à al-qaida.